Fatma Karume: Nchi isiyoheshimu Haki za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu

"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka mkiitwa Washenzi? Mlitaka muitwe nini? Waungwana? Jifunzeni UUNGWANA!"- Fatma Karume

(“USHENZI” kwa English ni “BARBARISM”. Kama hamtaki kuitwa “BARBARIANS” ishini na wenzeno kwa UUNGWANA. CCM walofika kutamka BUNGENI kuwa Zitto anafaa KUUWAWA? Ni USHENZI tu. Nani kawapa MAMLAKA ya kuamuwa MTZ yupi atolewe ROHO? “BARBARISM”- USHENZI ) - Fatma Karume

"Na tukisema Kheri James, Mwenyekiti wa UVCC ni BARBARIC, mtakataa? Kweli MUUNGWANA anasimama mbele za UMATI wa Watu na kutamba na kupanga vipi atamuuwa mwenzake? USHENZI tu! Na bado kapewa KAZI ya UMMA!"- Fatma Karume
Mwambie baba yake arushe mali za wazanzibar alizojimilikisha na kuwapa hao watoto wake akiwepo huyoo mwanamkee..kisha ndo akujee huku
 
Katiba yetu mbovu sana. Inawageuza viongozi kuwa ma miunguwatu wasiokosolewa wala kushtakiwa popote.
Mpaka kina Ndugai nao hawawezi kushtakiwa . Si ajabu analiburuza Bunge anavyotaka
Tatizo sio katiba bali huo ndio utamaduni wetu, ni lini hata huko upinzani umeona wanakosoana kwenye vyama? mtu mpaka ahame chama ndio anaongea makosa ya viongozi na chama.
 
Tatizo sio katiba bali huo ndio utamaduni wetu, we lini hata huko upinzani wanakosoana kwenye vyama? mtu mpaka ahame chama ndio anaongea makosa ya viongozi na chama.
Vyama vya upinzani vina katiba mbovu na utamaduni mbovu, kwa sababu ya katiba mama ya nchi. Katiba kuu ya nchi ilitakiwa kutoa miongozo na miiko ya uongozi nchini .
 
Vyama vya upinzani vina katiba mbovu na utamaduni mbovu, kwa sababu ya katiba mama ya nchi. Katiba kuu ya nchi ilitakiwa kutoa miongozo na miiko ya uongozi nchini .
Mkishakuwa na utamaduni mbovu hayo mengine mengine yote hayawezi kuwa sawa.
 
"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka mkiitwa Washenzi? Mlitaka muitwe nini? Waungwana? Jifunzeni UUNGWANA!"- Fatma Karume

(“USHENZI” kwa English ni “BARBARISM”. Kama hamtaki kuitwa “BARBARIANS” ishini na wenzeno kwa UUNGWANA. CCM walofika kutamka BUNGENI kuwa Zitto anafaa KUUWAWA? Ni USHENZI tu. Nani kawapa MAMLAKA ya kuamuwa MTZ yupi atolewe ROHO? “BARBARISM”- USHENZI ) - Fatma Karume

"Na tukisema Kheri James, Mwenyekiti wa UVCC ni BARBARIC, mtakataa? Kweli MUUNGWANA anasimama mbele za UMATI wa Watu na kutamba na kupanga vipi atamuuwa mwenzake? USHENZI tu! Na bado kapewa KAZI ya UMMA!"- Fatma Karume
Mshenzi alikuwa babu yake akiyechinja waarabu na kuwalazimisha waolewe na wanyasa kwa nguvu.
 
Ushenzi ni Stupidity au foolishness na sio BARNARISM
Hiyo sio maana halisi ya ushenzi, ulichokielezea hapo juu ni maana ya neno UPUMBAVU. Neno ushenzi asili yake halisi ni katika maswala ya utawala wa kikoloni (haswa waarabu), ndo kulitumika maneno kama WATWANA & WASHENZI.

Wakorea wana msemo wao wa ㅎ또 혹 업로드가 개조, wakimaanisha mshenzi hana kauli mbele ya bwenyenye lake.
 
Huyu bint anatapatapa sana!

Alhaj Bulembo ni baba mkwe wa Zitto Kabwe.
Ukimwita binti unampa sifa asiyoistahili, huyu ni bibi hata kama hana mjukuu!! Kwa umri wake alipaswa kujiheshimu sana! Matusi si njia ya kiungwana ya kuwasilisha hoja na malalamiko aliyo nayo!! Huyu bibi si mwungwana hata kidogo! Anaiaibisha sana familia ya Karume!! Ingewezekana azuiwe kutumia jina LA Karume!
 
Ndugai lazima atajuja onja jela walahi naapa
Ndugai aonje jela kwa sheria ya katiba ipi?

Na hizi kauli za vinyongo nakuonyesha kuwa mmewapania sana, ndo zinawafanya CCM wailinde kwa hali na hii katiba yao inayowatetea kwasababu wanajua kabisa hawatabaki salama.Yaani hata swala la CHADEMA kushuka dola litanaki historia.
 
Kweli kabisa

Tena ni washenzi haswaa
Washenzi wa Taifa
Laiti ungejua maana ya mshenzi usingekubali kujitukana kizembe hivyo,au labda haujui chimbuko la hilo neno?

Kwa hapa Tz,washenzi ni CHADEMA mbele ya maboss zao CCM.
ninachojua MaCCM wote ni washenzi wa Taifa , hata Shangazi ametukumbusha.
Tunachofanya ni kuwapa moyo washenzi ili msijione wanyonge, CHADEMA tunahuruma sana na WASHENZI WA TAIFA.
 
Back
Top Bottom