kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,412
- 7,194
Kwanza haki ya kujiunga au kutokujiunga na chama cha siasa ni ya kila raia. Ukisoma kifunfu 74 cha katiba utaona uteuzi kwenye tume ya uchaguzi uko wazi kwa kila raia mwenye sifa awe mwanachama au asiwe mwanachama wa chama cha siasa.. ukienda kifungu 74(3)(d) ndio utaona kumewekwa marufuku kwa kiongozi wa chama cha siasa wala sio mwanachama wa kawaida.
Ukienda kifungu 74(14) kinasomeka hivi 'Itakua ni marufuku kwa watu wanaohusika na uchaguzi kujiunga na chama chchote cha siasa, isipokua tu kwamba kila mmoja wao atakua na haki ya kupiga kura..' hii ina maana gan? Wakati ukiiwa kwenye tume au unahusika na uchaguzi kama hukuwahi kujiunga kwenye chama cha siasa ndio ni marufuku kujiunga na chama cha siasa..au kwa wale ambao ni wanachsma ni marufuku kujiunga na chama kingine.