Fatma Karume: Hakuna mtu wa kukidhibiti Chama cha Wanasheria Tanganyika( TLS)

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Fatma Karume: Hakuna mtu wa kuidhibiti TLS kwa sababu hakuna binadamu anayeweza kumdhibiti binadamu mwenzake kwa mujibu wa Katiba yetu kila binadamu ni huru, lakini unapovunja Katiba na sheria za nchi hapo hauko huru. TLS tuko huru hatuendeshwi na chombo chochote.

Chama cha wanansheria wa Tanganyika sio mali ya umma kama alivyoeleza jaji mkuu wa Tanzania, Profesa Ibahim Juma. Chama ni cha kitaaluma ambacho kinaendeshwa na wananchama wenyewe ambao ni wanasheria na kipo kwa mujibu wa sheria za nchi,

Fatma aliyechaguliwa hivi karibuni, amewaambia waandishi wa habari kwanba TLS kuwa chini ya serikali ni kuingilia uhuru wa wanansheria katika kutekeleza majukumu yao hatua ambayo ni kinyume cha sheria na kanuni za kimataifa.

Pia soma >Rais Magufuli: TLS ni mali ya umma, isigeuzwe mali binafsi


karame.jpg
 
Fatma Karume: Hakuna mtu wa kuidhibiti TLS kwa sababu hakuna binadamu anayeweza kumdhibiti binadamu mwenzake kwa mujibu wa Katiba yetu kila binadamu ni huru, lakini unapovunja Katiba na sheria za nchi hapo hauko huru. TLS tuko huru hatuendeshwi na chombo chochote

View attachment 754165

Kinyago ukichonge mwenyewe halafu kikutishe? khaaaa...............
 
HV kwa mfano akitia nia ya ubunge au uwakilishi kule Zenji 2020 atafanikiwa kweli!! Sijui Chama gani.
 
Back
Top Bottom