relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,187
- 4,762
Huko uingereza walikogewa chanjo full dose na sasa ugonjwa Kama umewekwa ndimu kukoje?Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.
Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.
Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.
Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.
Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.
Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.