#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,272
2,000
Wapi nimeandika vichache? Una bias yako kichwani inakufanya ushindwe kusoma kwa ufahamu, mtu akiandika "si vingi sana" unasoma vichache.

Hujui kwamba inawezekana vikawa si vingi sana wala si vichache.

Wewe unashindwa kusoma kwa ufahamu, unaona extremes tu, kwamba "kama si vingi sana, basi ni vichache".

This is logical non sequitur.

Nakwambia hivi, maadili ya kitabibu yanakataza kulazimisha chanjo, ndiyo maana chanjo zina consent.Tena si chanjo tu, hata medical procedures kubwa zozote.

Kwa nini unataka kupingana na ethics za utabibu?
Nimesema una imply, sijasema umesema. Kuna tofauti. Kwa kusema " si vingi sana " ina maanisha ni vingi au vichache. Sitaki kuamini kama ungesema kuwa watu wasichanjwe kwa lazima wakati watu wanakufa kwa wingi. Kilichobaki ni "vifo vichache".

Wakati wa vita, hayo maadili unayozungumzia yanawekwa pembeni. Ni kama vile wakati wa amani ni hiari kujiunga na jeshi lakini wakati wa vita hiyo hiari inawekwa pembeni. Hii ni vita na sio suala la masihara.

Tutakapo pata herd immunity ndio mambo ya hiari yarudi. Kabla ya hapo wachanjwe tuu, wapende wasipende.

Amandla...
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,569

Ukitaka habari za ku imply unaweza kusema lolote, kitu ambacho kitafanya mjadala usiwe na maana.

Hata kwenye vita kuna maadili ya vita kuna conventions za kimataifa.

Ukilazimisha wengine wachanjwe, wewe unayependa chanjo ukiwa minority katika nchi ya wajinga wasiotaka chanjo wakikulazimisha usichanjwe utafurahi?
 
Kwenye umaana wa mjadala tukubali kutofautiana.

Conventions zinahusu uendeshaji wa vita na umri wa kuwa mpiganaji. Namna wanavyopatikana hamna convention. Kwa mfanokielemewa haukatazwi kukodisha majeshi ila hauruhusiwi kutumia watoto.

Ndio maana tunasema serikali. Hawa wana uwezo wa kuprevail hata kama ni mawazo ya wachache. Hao waliowengi wamewalazimisha wachache wasipate chanjo mpaka sasa na kuwaambia wapige nyungu na wale mapirikichi.

Nadhani tuishie hapa maana kwa maoni yangu tume exhaust tunachojadiliana.

Nashukuru kwa majadiliano ya heshima.

Amandla....
 
Nimekuuliza, ungekuwa sehemu ya watu wengi wasiotaka chanjo na wewe unataka chanjo,halafu wakakulazimisha usipate chanjo, ungefurahi?

Hujajibu.
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,272
2,000
Nimekuuliza, ungekuwa sehemu ya watu wengi wasiotaka chanjo na wewe unataka chanjo,halafu wakakulazimisha usipate chanjo, ungefurahi?

Hujajibu.
Mbona nimekujibu? Nimesema swali hilo ni moot kwa sababu kwa zaidi ya mwaka tumezuiwa kupata chanjo na hao wasiotaka chanjo. Tumeambiwa tuombe, tupige nyungu na tule maparachichi wakati tunachotaka ni chanjo. Hatukufurahi lakini hatukuwa na jinsi. Ni kama vile sitegemei watakaolazimishwa kuchanjwa wakati hawataki kuchanjwa ila nao itabidi wamezee tu.

Amandla...
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,569
2,000
Mbona nimekujibu? Nimesema swali hilo ni moot kwa sababu kwa zaidi ya mwaka tumezuiwa kupata chanjo na hao wasiotaka chanjo. Tumeambiwa tuombe, tupige nyungu na tule maparachichi wakati tunachotaka ni chanjo. Hatukufurahi lakini hatukuwa na jinsi. Ni kama vile sitegemei watakaolazimishwa kuchanjwa wakati hawataki kuchanjwa ila nao itabidi wamezee tu.

Amandla...
Tunahitaji chanjo dhidi ya aina yako ya kufikiri ya "It's our turn to eat".
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,272
2,000
Tunahitaji chanjo dhidi ya aina yako ya kufikiri ya "It's our turn to eat".

Umeuliza, umejibiwa. Sasa sarcasm ya nini? Naona kweli tumefikia mwisho ama sivyo tutabaki kutukanana tu, kitu ambacho nisingependa. Mimi nimefikia tamati ya majadiliano yetu.

Amandla...
 
ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,444
2,000
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri. Hivyo, ni vema arekebishe kauli au aifute kabisa.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi na akumbuke watanzania wameshatishwa sana kuhusu hizi chanjo enzi za Mwendazake.

Samahani Mkuu sasa Kama Kaahidiwa kitu na Wathungu atafanyaje kama sio kuinadi?
 
The Boldly

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,378
2,000
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri. Hivyo, ni vema arekebishe kauli au aifute kabisa.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi na akumbuke watanzania wameshatishwa sana kuhusu hizi chanjo enzi za Mwendazake.
Kumbe
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,569
2,000
Umeuliza, umejibiwa. Sasa sarcasm ya nini? Naona kweli tumefikia mwisho ama sivyo tutabaki kutukanana tu, kitu ambacho nisingependa. Mimi nimefikia tamati ya majadiliano yetu.

Amandla...
Full cycle to a case of the pot calling the kettle black.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Si umesema takwimu hazina uhalisia?
Tukizungumzia takwimu za corona ni kwamba tunazungumzia na vifo vya corona, na hapo ndipo nikasema hivi vifo vya corona havina uhalisia huo tunaofikiria. Tunaweza tukawa na takwimu zenye kuonesha vifo vingi vya corona ila kumbe uhalisia isiwe hivyo.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,569
2,000
Tukizungumzia takwimu za corona ni kwamba tunazungumzia na vifo vya corona, na hapo ndipo nikasema hivi vifo vya corona havina uhalisia huo tunaofikiria. Tunaweza tukawa na takwimu zenye kuonesha vifo vingi vya corona ila kumbe uhalisia isiwe hivyo.
Sawa.

That makes it even more of a case kuwaachia watu waamue wachanjwe au wasichanjwe.

Kwa sababu unasema hata vifo vinavyosemwa vya Corona havina uhalisia.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Sawa.

That makes it even more of a case kuwaachia watu waamue wachanjwe au wasichanjwe.

Kwa sababu unasema hata vifo vinavyosemwa vya Corona havina uhalisia.
Hilo suala la chanjo kwa Tanzania hata siliewi kwa sababu kwenye kudhibiti maambukizi tu kwa kuchukua tahadhari hapo tumefeli tumeachia tu maambukizi na serikali imesema kabisa kuwa haitotumia nguvu, ila sasa tumerukia chanjo na tunataka iwe lazima.
 
Jerusalem2006

Member
Apr 19, 2020
60
150
Hilo suala la chanjo kwa Tanzania hata siliewi kwa sababu kwenye kudhibiti maambukizi tu kwa kuchukua tahadhari hapo tumefeli tumeachia tu maambukizi na serikali imesema kabisa kuwa haitotumia nguvu, ila sasa tumerukia chanjo na tunataka iwe lazima.
Anayetaka chanjo iwe lazima ni Mbowe na ny.umbu anaowafuga. Nakuhakikishia watanzania walio wengi hata uwawekee bunduki vichwani hawataki kusikia habari za chanjo.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,569
2,000
Hilo suala la chanjo kwa Tanzania hata siliewi kwa sababu kwenye kudhibiti maambukizi tu kwa kuchukua tahadhari hapo tumefeli tumeachia tu maambukizi na serikali imesema kabisa kuwa haitotumia nguvu, ila sasa tumerukia chanjo na tunataka iwe lazima.
Chanjo inaweza kusaidia kupunguza hospitalization and deaths, so there is a case for chanjo.

Ingawa mimi siafikiani na kulazimisha chanjo.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Chanjo inaweza kusaidia kupunguza hospitalization and deaths, so there is a case for chanjo.

Ingawa mimi siafikiani na kulazimisha chanjo.
Tukiangalia majirani zetu ambao wana hizo chanjo bado wanaendelea kuzuia watu kutoka nje wanafunga mashule na vitu kama hivyo, sasa sisi ambao ndio tumeichia tu kabisa nchi ijae maambukizi ndio tumeelekeza nguvu zote kwenye chanjo yani ndio tunaamini tutachoma watu vya kutosha kuzidi hao majirani zetu na kuona mafanikio ya chanjo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom