Aelezee nini zaidi hapo wakati kanyoosha vizuri kila kituHoja dhaifu sana hiyo
Eleza jaji kiongozi amekosea wapi?
Naunga mkono hoja yako kwa 100%Mkuu ni nani uliyewahi kusema anajua sheria pindi anapokuwa mwiba kwa serikali? Tukubali tukae, ni kweli Fatuma anaweza kuwa na mapungufu yake hilo halina mjadala, lakini ni ukweli usioacha shaka mahakama kwa sasa zinafanya kazi kwa kufuata utashi wa ikulu. Jambo hili limezigeuza mahakama zetu kutoka nje ya kazi zao, na kugeuka kuwa chombo cha kukomoa wote wasioafikiana na mwenendo wa serikali. Ni nadra sana sasa hivi kesi yoyote yenye mkono wa ikulu kutoa maamuzi ya haki zaidi ya kuiridhisha ikulu.
Hivi kichwa chako Hakina uwezo wa kutambua msingi wa kusimamishwa kwa huyu wakili au umeamua kukosea adabu Jaji Feleshi.View attachment 1213393
Huyu Judge Eliezer Feleshi sasa anaanza kujizolea sifa ya ukibaka wa sheria.
Hatua yake ya kumpiga marufuku mwanasheria Fatma Karume kiukweli imemuondolea hadhi ya kuitwa Judge.
Kimsingi alichofanya ni ukibaka, na hakuna njia rahisi kulielezea hilo.
It is presumed nobody is above the Law.
Fatma alikuwa akimuwakilisha kisheria ndugu Addo Shaibu aliyekuwa aki challenge uteuzi wa Prof Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu(Attorney General).
Sasa hapo kuna nini cha ajabu?
Kumpiga marufuku mtu kwa kufanya kazi yake inayompatia riziki ni ukibaka.
Acha ujinga wapinzani hawakosei popote wapo vizuri ndiyo maana kwa ubabe wenu mkaamua kupiga marufuku mikutano ya siasa kinyume cha katiba na Sheria na bado mkaona haitoshi mkaanza kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali na sasa hata mikutano ya ndani uzundizi wa miladi mnawaingilia, Mahakama ikitenda haki kwa mpinzani huyo Hakimu au jaji huandamwa na vimemo au hata kuhamishwa kwenda mbali, mahakama haipo huru kwenye utawala huu wako usiotaka kuona wapinzani Nchini.Mahakama itatenda haki iwapo tu mpinzani wa serikali atashinda. Hizi ndio akili za upinzani, hawafikirii walikosea wapi ili wajirekebishe wao ni kulalamika kama mbwa koko.
Sasa kwanini apambane na Magufuli? Si apambane na huyo aliye mfungia!Fatma Karume,dont go down easily lol...hakikisha unapambana na Magufuli vilivyo...lol
Basically you guys are stupid.Hivi kichwa chako Hakina uwezo wa kutambua msingi wa kusimamishwa kwa huyu wakili au umeamua kukosea adabu Jaji Feleshi.
Hajasimamishwa kwa kumuwakilsha ado bali ni ukosefu wa maadili ya uwakili kwa mujibu wa taratibu za kazi hiyo.
Kalikoroga atalinywa mwenyewe
Hoja dhaifu sana hiyo
Eleza jaji kiongozi amekosea wapi?
Sasa kwanini apambane na Magufuli? Si apambane na huyo aliye mfungia!
Kwa ufupi tu inaonekana hujui chochote kuhusu sheria na taratibu za uendeshaji mashauri. Judge kiongozi alichofanya kiko katika Mamlaka yake, tena from the Advocate Act, huyu Bibi kizee alikuwa Rais TLS muda mchache uliopita anajua fika Wakili anayejielewa hawezi kuweka mipasho kwenye submission, something to be submitted before a Court of Law!
Sasa tunaingia rasmi chimbo kutaka PhD ya Elieza Fereshi ichunguzwe , Thesis yake haijaonekana popote , liwalo na liwe !View attachment 1213393
Huyu Judge Eliezer Feleshi sasa anaanza kujizolea sifa ya ukibaka wa sheria.
Hatua yake ya kumpiga marufuku mwanasheria Fatma Karume kiukweli imemuondolea hadhi ya kuitwa Judge.
Kimsingi alichofanya ni ukibaka, na hakuna njia rahisi kulielezea hilo.
It is presumed nobody is above the Law.
Fatma alikuwa akimuwakilisha kisheria ndugu Addo Shaibu aliyekuwa aki challenge uteuzi wa Prof Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu(Attorney General).
Sasa hapo kuna nini cha ajabu?
Kumpiga marufuku mtu kwa kufanya kazi yake inayompatia riziki ni ukibaka.
Man; you just hit nail in the coffin!
Mambo ya uanaharakati anayapeleka mahakamani! Hajui kuwa kwenye sheria every word makes different and has impact on submission
Majajiccm mahakamaccm sasa hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba ya Nchi bali wanafanya kazi kwa mujibu wa Sheria zao binafsi.
Wewe ni mwanasheria kweli?kama sivyo kaa kimya!!ni hivi :jaji yeyote anaweza kufungia wakati wowote pale anapohisi kuwa mwanasheria anavunja au anaidhalilisha mahakama au anaidharau mahakama au hamtendei haki mahakama au mteja wake.View attachment 1213393
Huyu Judge Eliezer Feleshi sasa anaanza kujizolea sifa ya ukibaka wa sheria.
Hatua yake ya kumpiga marufuku mwanasheria Fatma Karume kiukweli imemuondolea hadhi ya kuitwa Judge.
Kimsingi alichofanya ni ukibaka, na hakuna njia rahisi kulielezea hilo.
It is presumed nobody is above the Law.
Fatma alikuwa akimuwakilisha kisheria ndugu Addo Shaibu aliyekuwa aki challenge uteuzi wa Prof Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu(Attorney General).
Sasa hapo kuna nini cha ajabu?
Kumpiga marufuku mtu kwa kufanya kazi yake inayompatia riziki ni ukibaka.
Tatizo linaloikumba nchi yetu hivi sasa ni kwamba Watanzania tumeondokewa na ule ujasiri wa kusema kweli, 'kweli daima, badala yake tunashindana kujikomba kwa kiwango cha kutia kinyaa.View attachment 1213393
Huyu Judge Eliezer Feleshi sasa anaanza kujizolea sifa ya ukibaka wa sheria.
Hatua yake ya kumpiga marufuku mwanasheria Fatma Karume kiukweli imemuondolea hadhi ya kuitwa Judge.
Kimsingi alichofanya ni ukibaka, na hakuna njia rahisi kulielezea hilo.
It is presumed nobody is above the Law.
Fatma alikuwa akimuwakilisha kisheria ndugu Addo Shaibu aliyekuwa aki challenge uteuzi wa Prof Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu(Attorney General).
Sasa hapo kuna nini cha ajabu?
Kumpiga marufuku mtu kwa kufanya kazi yake inayompatia riziki ni ukibaka.
Kwenye hiyo cover huyu jaji huo mdomo inaonesha kama anavuta ndum.
Kwa ufupi tu inaonekana hujui chochote kuhusu sheria na taratibu za uendeshaji mashauri. Judge kiongozi alichofanya kiko katika Mamlaka yake, tena from the Advocate Act, huyu Bibi kizee alikuwa Rais TLS muda mchache uliopita anajua fika Wakili anayejielewa hawezi kuweka mipasho kwenye submission, something to be submitted before a Court of Law!
huyo kijana hana adabu kabisa!Kuwa na nidhamu kwa wenzio na jadili hoja badala ya ku"attack" personality wewe. Unamwita BIBI KIZEE unamkokea moto?. Najizuia kukutukana lakini unastahili tusi kubwa sana kwa kumkosea adabu mtanzania mwenzio. Araaaaaahh