Fataki za miaka 50 ya uhuru zimetuamsha tulikuwa tumelala

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wakuu, wakazi wa maeneo ya Mnazi Moja, Kisutu, Kariakoo, leo ni fujo tu hakuna kulala CCM wanapiga mafataki sijuhi wanashangilia nini
 
Haaa wanasherekea walivyotuibia hela bila sisi kujua,kwani chenji ya rada washatekeleza yale waliyohaidi kufanya? Chenji ya rada hiyo inatumika hapo
 
hivi watu hata wanaelewa kinachoendelea ?maana mi naona hakuna msisimko at all..watu wapo busy tu na mambo yao....TZ bwana safi kweli kweli
 
Back
Top Bottom