Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

Ningependa pia kusikia taarifa za upande wa pili!

Ila kama anachofanyiwa huyo Masha na hiyo Fastjet yake ni hila za ki biashara, basi si vizuri hata kidogo.

Uhodhi katika biashara ni jambo baya sana.

Sasa hivi tayari athari za huo uhodhi zimeshaanza kuonekana.

Bei za tiketi za ATCL zipo juu mno kuliko kawaida.

Wasipojiangalia hao ATCL wataishia kufanya vibaya mno kwenye hiyo biashara ya usafiri wa anga!

Nani atalipa laki 4 kwa safari moja ya ndege wakati kuna mabasi ya elfu 50!!??

Serikali ingeachana kabisa na haya mambo ya kufanya biashara.

Yenyewe ingejikita tu katika kutengeneza mazingira mazuri ya kufanyia biashara na yanayovutia wawekezaji zaidi.

Bado ningependa kusikia na upande wa pili kuhusu hili suala.
Huyu ndugu Ngabu sijui alisoma wapi. Lugha zote huandika kwa ufasaha mkubwa.
 
Ningependa pia kusikia taarifa za upande wa pili!

Ila kama anachofanyiwa huyo Masha na hiyo Fastjet yake ni hila za ki biashara, basi si vizuri hata kidogo.

Uhodhi katika biashara ni jambo baya sana.

Sasa hivi tayari athari za huo uhodhi zimeshaanza kuonekana.

Bei za tiketi za ATCL zipo juu mno kuliko kawaida.

Wasipojiangalia hao ATCL wataishia kufanya vibaya mno kwenye hiyo biashara ya usafiri wa anga!

Nani atalipa laki 4 kwa safari moja ya ndege wakati kuna mabasi ya elfu 50!!??

Serikali ingeachana kabisa na haya mambo ya kufanya biashara.

Yenyewe ingejikita tu katika kutengeneza mazingira mazuri ya kufanyia biashara na yanayovutia wawekezaji zaidi.

Bado ningependa kusikia na upande wa pili kuhusu hili suala.

Nakuunga mkono. Hivi ndege siku hizi zinanunuliwa kirahisi kama magari. Masha hata hajamaliza mwezi tangu awe mkurugenzi wa Fastjet ameshaweza kununua ndege.
 
Leo katika amka na BBC mmiliki wa ndege za Fastjet Masha ambaye ni kada wa CCM kwa sasa amelia na mamlaka za anga Tanzania kwa kunyimwa vibali vya kuingiza ndege mpya.

Pamoja na katazo hilo kapewa makavu live kuwa wafungashe kwa sasa ATCL ndio shirika pekee litakalopewa safari zilizokuwa zikifanywa na Fastjet.

Mawazo yangu:

1. Tunasema wawekezaji kwa mpango huu hata waliopo wanapata picha gani?

2. Mnasema kujiajiri kwa hali hii nani atajiajiri?

3. Hivi mnapouwa ushindani na kutengeneza monopoly ndio kukuza uchumi?

4. Ni biashara ngapi mmeziuwa kisiasa kufurahishana nyie na sio taifa?

Anayekula nyama ya mtu haachi - JK NYERERE

Huyu Masha akileta uzushi kinachofuatia ni kunyang'anywa uraia , Shetani hana rafiki
 
Sio jambo baya Serikali kufanya biashara ya usafiri wa anga maana mataifa mengine pia hufanya ila lazima wakubali ushindani.
Hii hawawezi kukubali mkuu kwani uwezo wao ninmdogo sana kushindana, huoni hata mkulu anayoyafanya ktk siasa??? Ni kwa kuwa tu kaona hana huwezo wa kupambana na akina mbowe kidemocrasia kwa hiyo dawa no kuwaweka ndani.

Overrrrr...
 
Nimefurahi sana kwa taarifa hio.Masha mwana CCM na serikali inayomfanyia figisu ni ya CCM so watajuana wenyewe.

Wapanda ma-bus hii taarifa haina madhara,usiniambie habari za ajira kupungua kila mtu apambane na hali yake.
Ngoja mabasi nayo yapigwe pin kama ilivyotokea mwendo kasi,

Hatuko salama wote mkuu
 
Ningependa pia kusikia taarifa za upande wa pili!

Ila kama anachofanyiwa huyo Masha na hiyo Fastjet yake ni hila za ki biashara, basi si vizuri hata kidogo.

Uhodhi katika biashara ni jambo baya sana.

Sasa hivi tayari athari za huo uhodhi zimeshaanza kuonekana.

Bei za tiketi za ATCL zipo juu mno kuliko kawaida.

Wasipojiangalia hao ATCL wataishia kufanya vibaya mno kwenye hiyo biashara ya usafiri wa anga!

Nani atalipa laki 4 kwa safari moja ya ndege wakati kuna mabasi ya elfu 50!!??

Serikali ingeachana kabisa na haya mambo ya kufanya biashara.

Yenyewe ingejikita tu katika kutengeneza mazingira mazuri ya kufanyia biashara na yanayovutia wawekezaji zaidi.

Bado ningependa kusikia na upande wa pili kuhusu hili suala.
Siku ikaingia serikali yenye akili haya mandege ni kuyauzia mashirika binafsi maana huwezi kuendesha biashara bila ushindani hapa ni sawa na kuendelea kutuburuza watanzania, maana hatuna mbadala.
 
Oneni hii one-way ticket price ya ATCL...

View attachment 977480

How this is going to be sustainable long term is beyond me!!!

One-way ticket for over 300K!!??

Maybe I’m out of touch here....but it sure looks like it’s too much money.
Hiyo price lazima iwe hivyo...booking ya 27th December ukifanya siku 2 au 3 kabla ya safari lazima iwe hivyo..jaribu kufanya booking ya jan 27th 2019..utaona price ni afadhali....
 
Back
Top Bottom