sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,541
- 9,438
Mengi yanasemwa kuhusu usafiri wa kampuni mpya ya ndege ya Fastjet ambayo inatoa huduma hiyo kwa gharama nafuu sana.. bottom line ni kwamba wanatoa huduma hiyo kwa gharama nafuu..
Kilichonistua na kunifanya niandike post hii ni kutokana na habari niliyoina kwenye gazeti la jana la The Guardian ambalo chini ya kichwa cha habari "Fastjet shakes Dar's aviation sector" kuna sehemu ambako mwandishi amemnukuu senior officer mmoja wa Precionair ambae hakutaka jina lake liandikwe na mie ninanukuu.. "This's not competition, this's spoiling the aviation business.. what's happening isn't good for the future of the aviation in Tanzania and hopefully the Fair Competition Commission will intervene"..
Jee ni kweli Fastjet wanachofanya ni kuliharibu soko la usafiri wa anga..? Au ndio mipango ya shirika hili kupigwa vita na kuondolewa hewani kisa tu linatoa huduma za anga kwa bei nafuu..?