Fastjet ni balaa.......

D 007

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
206
147
Mambo ya Fastjet ,Jana kuna rafiki yangu ametoka dar ,kushuka pale KIA dUH..alidhani yupo UBUNGO BUS TERMINAL ... Cha kufurahisha nusu walioshuka walikuwa wanaulizia bodaboda maarufu kama (TOYO) zinapatikana wapi...
 
FastJet ni vizuri watabadilisha saikolojia ya watumiaji wa ndege. Niko hapa JNIA naelekea KIA na precision but nachokiona hapa ni great kwa watanzania. Watu ni wengi na wengi ni abiria wa FastJet. Nimefurahi sana kwamba at last haya mambo ya ukiritimba ni unyonyaji. Wacha ndugu zetu watumie hizi fursa za ubapari sometime zinaunafuu wake. Dege moja la FastJet linaruka hilooooo full board!
 
he he he....vya bure gharama mjue......
FastJet.jpg

Kama Ulaya mwanawane, Unalooo Preta na Precision Air yako............
 
Last edited by a moderator:
FastJet ni vizuri watabadilisha saikolojia ya watumiaji wa ndege. Niko hapa JNIA naelekea KIA na precision but nachokiona hapa ni great kwa watanzania. Watu ni wengi na wengi ni abiria wa FastJet. Nimefurahi sana kwamba at last haya mambo ya ukiritimba ni unyonyaji. Wacha ndugu zetu watumie hizi fursa za ubapari sometime zinaunafuu wake. Dege moja la FastJet linaruka hilooooo full board!
we ni mhaya au
 
FastJet.jpg

Kama Ulaya mwanawane, Unalooo Preta na Precision Air yako............

hakuna kitu....jana nimeenda kufanya booking ofisini kwao.....hakukuwa na hata sehemu ya kuweka mguu....harufu ya jasho tu imejaa jinsi watu walivyo wengi......shida ya nini.....PW ndio mambo yote....labda baadae sana ila kwa sasa......am soreeeeee.........
 
...Hi hi hi hi...achana na hiyo..kwea PW...haraka na uhakika
 
Mi zinaniudhi zinavyo kimbia yaani yaan kama umekaa na dem mzur kabla hata huja mtongoza usha fika,me nimezoe magar ya mwanza to arusha maana ni masaa 9 au 10.sio mambo ya nusu saa.me sinto panda kitu mfano wa ungo bana huo ni uchaw kitu kizito kina paa juu.hebu rusha sh mia juu kama haijashukaa! Shaur yenu nyie mbipun mungu atawapigia
 
Back
Top Bottom