Dollar imepanda....
Dollar imepanda....
kama hivyo sie tuliohonja tikti za elf 50 Ndege ndo basi tena looh!!Mie nimefanya jana booking ya August nimeambiwa laki 2 to mbeya-dar
uwe unafanya booking mapema utapata tiketi za gharama nafuu..wacha kulalamikaa
Ukitaka kufahamu unafuu wa bei za fastjet jaribu kununua ticket wiki 2 au zaidi kabla ya safariJamani wana jamvi wenzangu nauli za fastjet saiv ni ghali mno tofauti na ilivoanza.
Leo nafanya booking ya kesho mbeya naambiwa laki nne na upuuzi.
Wakati mwaka juz ilikuwa bei ndogo mno.
Mtatuuwa Fastjet.
Hivi nikifanya booking online natakiwa kulipa baada ya muda gani
kabla ya ofisi za fastjet kufungwa,yaani ni muda wa ofisi zao kufungwa
Fast jet haihusiki na safari za dharula, ulitakiwa uwaambie unaenda Mbeya miezi mitatu kabla! Halo ungelipia buku tu!
Hivi nikifanya booking online natakiwa kulipa baada ya muda gani
inategemeana na mda uliobook hiyo tiket kama umebook mwez mmoja mbele wanakupa kama siku tano za kulipa..kwa wiki kadhaa wanakupa siku mbil au tatu hivii
wao rate zao ni kwa dollar, ikiwekwa kwa TZS wamefanya kubadilisha.....kupanda kwa dola kunahusiana vipi na Safari za ndani
Sh imeshuka dollar iko palepale kama dollar iimepanda ilitakiwa kupanda kwa dunia nzima sio TZ tu