FASTJET mmetusaidia sana wafanyabiashara Tanzania

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
6,988
8,499
Kiukweli kampuni ya ndege ya fastjet imetusaidia sisi wafanyabiashara wenye mitaji midogo kuokoa muda & fedha kwa mfano mimi nafanya biashara kati ya Dar-Arusha-Nairobi pia Mbeya & Johannesburg. hawa jamaa walivyo smart unaweza ku-plan safari 3 months well in advance.

Nikitaka kwenda Nairobi fasta nakwea pipa (toka Dar) mpaka KIA then pale naunga na shuttle 2 Nairobi, pia Dar-Joburg wana deals/fare cheap mno. WAJASIRIAMALI TUTUMIE FURSA HII kuokoa MUDA & PESA
 
kaka si wafanyabiashara tu hata wakina sisi wachovu tumejitoa muhanga tumekwea pipa mara kdhaa kwa nauli za 55,000/= x 2 DAR-MBEYA-DAR. Asate fastjet
 
fastjet kusema ule ukweli wanastahili pongezi wameleta competition kwenye airline industry kwenye ukanda huu wa Afrika safi sana
 
Kwa niaba ya fastjet, ningependa kutoa shukrani za dhati kwa kwenu nyie wateja wetu kwa kufurahia huduma zetu, inatupa faraja na inatutia nguvu, tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora, kuondoka kwa muda uliopangwana na kukupa urahisi katika kufanya maandalizi yako ya safari. Pia tunafanya juhudi za kuendelea kupanua wigo wetu zaidi ili wote muweze kunufaika na usafiri huu.

Kumbuka kufanya booking yako mapema ili upate bei ya chini.

fastjet Smart Travel.
 
maisha ya sasa ni kukimbizana na muda na ikiwezekana kuokoa muda kkiasi kikubwa. Thank u Fastjet maana mmetuwezesha kusafirikwa haraka kwa nauli almost sawa sawa na basi
 
Hongereni Fastjet ila jirekebisheni kidogo hasa wafanyakazi wenu wanatokomea na chenji za wateja (abiria), nimesafiri mara nyingi sasa nanunua kama kahawa & bites ukitoa hela kubwa hurudishiwi chenji mpaka unaondoka kwenye ndege
 
hongera sana kiongozi kumbe nawe ni mteja wa FASTjet
Ndio huwa napenda tumia kwa hapa nchini kwani hawachelewi wala kufuta safari zao, ndege zao kubwa na siti unajichagulia.
Nitaendelea zipanda sababu kwenye kukata ticket hawasumbui sana ukishakuwa na ref namba basi wapanda
 
Ndio huwa napenda tumia kwa hapa nchini kwani hawachelewi wala kufuta safari zao, ndege zao kubwa na siti unajichagulia.
Nitaendelea zipanda sababu kwenye kukata ticket hawasumbui sana ukishakuwa na ref namba basi wapanda

dah! Sawa bana
hv dar mpaka mbeya ni masaa mangapi kwa FastJet?
 
XXXXXX is now confirmed. Please book bags and see our terms before travelling. Check-in closes 40 mins before departure.


Kwa kuwa mmeisfia nimeshafanya booking tayari
 
Hongera sana tena sana,zamani kabla ya FJ ndege walikuwa wanapenda waheshimiwa tu na wenye nazo siku hizi aka napanda na hata na housegeli wangu,wakati hao wengine eti wanaaznisha kulipia kwa USD$ au fedha iliyosawa na hicho kiwango cha USD na kiwango cha USD ni cha kwao,siku hizi breakfast Mbeya ,msosi wa jioni Mbagala .
 
hapa nishakata tiketi kya kwenda Johannesburg mwezi September kwa Tsh. 400,000 (kwenda na kurudi) aisee hongereni sana fastjet
 
fastjet sasa wanapaswa kuongeza ndege waende mtwara, Nairobi &Zanzibar kuwamaliza precision
 
Back
Top Bottom