Fastjet hali tete; wateja walalamikia kushindwa kupata huduma zaidi ya siku mbili

Jf kuna watu wanahela ndefu, wadada ndio maana wanakimbilia humu

_ where ever you are remember me_
 
Kumbe wengi wanapenda sana kasolo za serikali kuliko mazuri,mbona hakuna comments zile
Lazima tuifuatilie serikali maana ni kodi zetu... Hao fastjet mbona walikuwa fresh tu kabla ya hizi njiwa za Magu? Natamani fastjet isitishe safari zake zote ili tuone hivyo vinjiwa vya Magu vitakavyowajibika

Brawn Shao
 
Kwani Fast jet ni ya Serikali? ATCL Watu wanaikosoa kwa sababu ni ya kwao, inaendeshwa kwa kodi zao! Elimu ya Uraia na kujitambua bado sana
 
Back
Top Bottom