Fastjest kuuza ticketi kwa dola

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
659
873
Nimeshindwa kuelewa kwanini fastjet wanauza ticket zao kwa dola kwenye website yao, wachumi tusaidieni hapo si wanachangia kuiporomosha shillingi yetu?.

Ningeomba mamlaka zinazohusika wapige marufuku kuuza vitu kwa dola ndani ya nchi.
 
Nimeshindwa kuelewa kwanini fastjet wanauza ticket zao kwa dola kwenye website yao, wachumi tusaidieni hapo si wanachangia kuiporomosha shillingi yetu?. Ningeomba mamlaka zinazohusika wapige marufuku kuuza vitu kwa dola ndani ya nchi.


Ungejiuliza kwanza kwa nini Taasisi za Kiserikali zinachaji kwa dola kabla ya kuwashangaa taasisi binafsi!
 
Naona wemeweka choices katika form ya bendera za nchi ulipo, ukichagua Tanzania utalipa kwa shilingi. Nafikiri wametengeneza template ambayo inaweza kutumika na mtu popote alipo ndani na nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom