Fast Jet kusitisha safari za Dar-Entebe, Dar-Nairobi, Kilimanjaro-Nairobi na Kilimanjaro-Entebe

Kim Jo Ngil

Member
Jan 3, 2014
45
17
Screenshot_2016-11-24-18-43-51~2.png
Kuanzia December 5 2016 Fastjet hakuna ruti za Dar - Kia na Nairobi pia Entebbe Uganda.

Nafasi kwa Air Tanzania hapo.
 
Vyombo vya serikali na umma huwa vipo very slow linapokuja suala la fast decision making when an opportunity comes...!!
Anyway ngoja tuone ATCL watakavyo respond.
 
✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌ peoples power!!! Na bado, tunaendelea kuisoma mamba!!!
 
ATCL ni vigumu kufanikiwa kwani tayari CEO mpya keshaingia katika mikono ya mapapa ya kampuni meneja fedha na na meneja rasilimali watu ambao ndio wanatengeneza nae eti business plan na kusafiri nao hadi morogoro kwenda kufanya yao. Ikumbukwe hawa walikwapua dola elfu tano na CEO aliyekuwa rubani kwa kuweka cha juu ndege ya kukodi toka Kenya na hiyo pesa walikuwa wakichota kwa fedha za madafu. Kweli usilolijua ni usiku wa giza
 
Na kwa huduma zao mbovu za Easy Travel na kwa kuingia ndege za JPM watakufa kifo cha asili. Asante Mheshimiwa acha waisome number maana nao walibebwa kiana fulani hatujui ni nani alikuwa nyuma yao. Kiburi sana na dharau mno. Acha waondoke kabisa tulete ndege zetu wenyewe.
 
Tanzania na Zimbabwe ndio zinaitia hasara FastJet, kutokana na uchumi wa nchi hizi mbili kukumbwa na misukosuko sana, wanaweza wakaondoka soon

Sasa ruti zenye traffiki kubwa kama Dar- Kilimanjaro , na Dar- nairobi zinafutwa ujue kweli biashara ya ndege imekuwa bomu haswa haswa
 
Hawa walikuwa ni shirika bovu na ndege ..

Mchawi wao ni Precious air. ....

Ambaye pia ni mchawi Wa ATCL....

Atcl wasipojipanga mkurungenzi wake namuona akiwa kafala Wa JPM soon..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom