Fast & Furious: Ni muda muafaka sasa wa 'Han' kutendewa haki

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Ni muda muafaka sasa wa haki kutendeka kwaajili ya Han

1564657461574.png


Sinema za Fast & Furious zote ni kuhusu familia lakini kwa Hobbs & Shaw inayomfanya 'Character' ambaye ni 'Villain' wa zamani katika mtiririko wa sinema hizo ndugu, Jason Statham kuwa kama shujaa.

Lakini baadhi ya mashabiki wa sinema hizo hawajafurahi.

Licha ya hilo, mwandishi wa sinema hiyo anathibitisha kuwa mashabiki watapata haki kutokana na kifo cha Han mikononi mwa Deckard Shaw.

Mashabiki wa Fast & Furious wasiofurahishwa wana malalamiko halali kabisa dhidi ya waandaaji na watengenezaji wa sinema hiyo.

1564656189168.png


Ushiriki wa Sung Kang kama 'Han' katika Fast & Furious: Tokyo Drift umeonekana kupendwa sana na mashabiki, mtiririko na muendelezo wa sinema hizo uliweka mazingira ya kumruhusu Han kuonekana zaidi.

Mpangilio ukaja kuvurugika pale baada ya mauaji ya Deckard Shaw kwa Han kuoneshwa katika kipande kimoja cha mwisho cha moja ya sinema hizo.

Kitu ambacho kilimfanya Deckard Shaw kuwa mshiriki mkubwa zaidi binafsi wa matukio ya kihalifu ama 'Villain' kabla hata ya Furious 7. Hivi sasa akionekana kama nyota mpya wa sinema hizo.

1564658148722.png


Maelezo kuhusiana na Han na jinsi gani atakavyoweza kutendewa haki, yametolewa na mwandishi wa Hobbs & Shaw Bw. Chris Morgan ambaye amethibitisha kuwa, kifo cha Han hakijasahaulika kama vile baadhi ya mashabiki wa sinema za Fast & Furious wanavyodhani.

Akiwa kama mwandishi wa Tokyo Drift, Fast Five, Furious 6, Furious Seven, pamoja na The Fate of The Furious (na pia muandaaji wa sinema hizo tangu Fast Five), maneno ya Morgan ni ya kuyachukulia kwa uzito wake.

Kwa kauli yake hiyo, ni jambo jema na la kuridhisha pale ambapo hata yeye mwenyewe anahitaji haki itendeke kwa ajili ya kifo cha Han.

Soma Zaidi:

Fast & Furious Writer Promises Justice For Han (Eventually)

The Fast & Furious movies may be all about family, but with Hobbs & Shaw making Jason Statham's former villain into a certified hero of the series, some fans aren't happy.

But despite appearances, the movie's writer confirms that fans WILL get justice for Han's death at the hands of Deckard Shaw... eventually.

Those less than pleased fans have a legitimate gripe with the makers of the Fast & Furious series. After all, Sung Kang's role as 'Han' in Fast & Furious: Tokyo Drift proved to be such a fan-favorite, the entire timeline of the Fast & Furious series was shifted forward to allow him more (prequel) appearances.

The timelines came crashing together when Deckard Shaw's premeditated murder of Han was revealed in a credits scene, making him the most personal villain yet for Furious Seven. And soon, the franchise's newest star... so yes, some explanation is overdue.

That explanation has been directly addressed by Hobbs & Shaw writer Chris Morgan, who confirms that the death of Han has not been as forgotten as some fans may fear.

As the writer of Tokyo Drift, Fast Five, Furious 6, Furious Seven, and The Fate of The Furious (and producer since Fast Five) Morgan's words should hold a great deal of weight.

As the person who killed Han, resurrected him, and made his murderer a part of the team, it's a relief to hear that he, too, is fully behind the calls demanding 'Justice for Han.'

The jury is out on whether or not being apologetic, or blaming brotherly revenge for the murder of the franchise's most beloved supporting character will repair any of the damage.

But as Morgan explains to EW, this chapter of Deckard Shaw's story starts to deal with his most unforgivable act directly:

I love ‘justice for Han.’ Sung Kang is a great friend, and Han is a character that I adore. I would say that the super-arc for Deckard Shaw is going to be one of the most interesting, cool, rewarding character arcs in the franchise. Justice for Han is owed. It’s something we have discussed for a very long time and want to give the right due to. I think the audience will be satisfied and should know it’s coming.

There’s a line in
Hobbs & Shaw that is right before the battle in Samoa where
Shaw says to his sister, ‘There’s things I’ve done that I have to make amends for.’ That line was specifically written and put in there just to let everyone know that he is talking about Han — it is on his mind. It tortures him, and he’s going to get to it.

The fans can decide for themselves how satisfied they are with how Hobbs & Shaw deals with the death of Han. But with Morgan making the guilt and punishment sound more internalized (at least to start with) we doubt it will do much to win over the most outspoken critics of the direction taken with the reformed villain.


Source: Screen Rant
Images: Various Sources
 
sisi tusiojua ungetupa hint kidogo
jamaa kauawa makusudi wakicheza show au nje ya show
na mbona series za FAST zinaendelea?
weka hata link km ipo
Han ni FICTION CHARACTER katika filamu za Fast & Furious na si 'Binadamu Halisi'.

Je wewe ni mfuatiliaji na mtazamaji mzuri wa hizo filamu za Fast & Furious?

Kama wewe ni mfuatiliaji na pia mtazamaji mzuri wa filamu hizo kuendana na mtiririko wake, utaelewa kuwa kuna wakati ambapo huyu character Han alikufa katika ajali ya gari ambayo kwa namna fulani ilisababishwa na character mwingine aitwae Shaw ama Deckard Shaw.

Sasa hicho kifo cha huyo character ndani ya filamu hizo ndicho kinachozungumziwa hapa na hakuna mtu yeyote aliyeuawa 'Kiuhalisia'.

Nadhani nimeeleweka!
 
Han ni FICTION CHARACTER katika filamu za Fast & Furious na si 'Binadamu Halisi'.

Je wewe ni mfuatiliaji na mtazamaji mzuri wa hizo filamu za Fast & Furious?

Kama wewe ni mfuatiliaji na pia mtazamaji mzuri wa filamu hizo kuendana na mtiririko wake, utaelewa kuwa kuna wakati ambapo huyu character Han alikufa katika ajali ya gari ambayo kwa namna fulani ilisababishwa na character mwingine aitwae Shaw ama Deckard Shaw.

Sasa hicho kifo cha huyo character ndani ya filamu hizo ndicho kinachozungumziwa hapa na hakuna mtu yeyote aliyeuawa 'Kiuhalisia'.
Nadhani nimeeleweka!
sasa nimekuelewa
haya mapicha ya Fast & Furious nimeyafuatilia sana na nasikia ndio yaliyotumia mado;a mengi sanakuyatengeneza
ipo sehemu moja huwa nairudia mara kwa mara ni pale mwanamke keshakata tela la tanki la mafuta halafu linaporomoka kufuata barabara jamaa akalisubiria na kulifuata eti akapita chini ya tank linaloungua,
1564861061762.png

Vin Diesel
Mkuu FRANC THE GREAT
sasa naona nitamalizia hizo F&F no 6.7 & 8
pia lenye utata jingine linaitwa MAD MAX
kuna Bint kakatika kiwiko utata mtupu hizi picha
1564861453615.png
1564863693059.png
 
sasa nimekuelewa
haya mapicha ya Fast & Furious nimeyafuatilia sana na nasikia ndio yaliyotumia mado;a mengi sanakuyatengeneza
ipo sehemu moja huwa nairudia mara kwa mara ni pale mwanamke keshakata tela la tanki la mafuta halafu linaporomoka kufuata barabara jamaa akalisubiria na kulifuata eti akapita chini ya tank linaloungua,
View attachment 1171685
Vin Diesel
Mkuu sasa naona nitamalizia hizo F&F no 6.7 & 8
pia lenye utata jingine linaitwa MAD MAX
kuba Bint kakatwa mkono utata mtupu
View attachment 1171690
Yeah! Hicho kipande wanachoiba mafuta ni kizuri sana. Kinapatikana katika Fast & Furious 4.

Hiyo Mad Max nayo pia ni nzuri sana kwa wapendao filamu za Action.
 
Huyo aliyekatika kiwiko anaitwa Charlize Theron ana miaka 42 ni mrembo tu na
Mikono yake yote mizima
ila wametumia cgi uonekane Kama umekatika.
 
Aah hii kali cgi itanibidi niGoogle
huku bongo bado kucheza vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom