Fast & Furious 9: Umeionaje?

Nlishatoaga review mwanzo pale hamna kitu, Probably watu waliniona hater kwa vile wengi walikuwa hawajaiangalia

Movie Reviews
 
Binafsi sikuona
 
Gun Powder Milkshake hahahaha nangalia zangu
Hahaha nimeicheki jana hii ni bonge la muvi..

Contract killers mama na mtoto!
Mama baada ya kufanya mauaji sana akawa most wanted na makundi ya wakora ikabidi apotee(go dark)
Huku akimwacha mwanae SAMI akichukuliwa na kundi mamaake alokuwa anafanyia kazi ya kuua!

Mtoto baada ya kuwa well trained akawa anapewa mission zile zile kama za mamaake! Za kuua.....

Utamu ulianzia pale sami alipofanya mauaji kimakosa na akamuua mtoto wa tycoon gaidi mbaya kabisa....

Huku sami akipewa tenda ingine ya kwenda kumuua jamaa alieiba hela za kampuni yao na kuzirudisha..
Baada kumpiga yule mwizi risasi mwizi akamwambia sami kwamba zile fedha aliiba ili amkomboe mwanae ambae alitekwa hivyo anaomba amsaidie kumuokoa mwanae!!

Hapo ndio muvi inanoga zaidi..
Sami katumwa aue kisha arudishe ela za kampuni yeye akazipeleka kwa magaidi ili amkomboe mtoto wa yule mwizi!!

Ikabidi kampuni itume wakora wengine wamuue sami kwa kukiuka au kukengeuka na kuvunja uaminifu..
Hapo hapo kampuni ikampigia simu yule tycoon alieliwa mtoto wake a kupewa location ya sami ili wammalize...

Kwahiyo hapo sami inabidi apambane na wakora waliemteka mtoto hapohapo watu waliotumwa na kampuni yake vilevile yule tycoon ambae mwanae aliuwawa na sami....

Ni hatari na nusu hapo..
Hii muvi naipa rate 7/8
 
Mkuu ngoja niitafute ya wkend...
 
Back
Top Bottom