Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 735
- 1,464
Twendeni chato wanangu, utalii wa ndani unatusubiria.
Sio alibadili dini baada ya kufiwa na baba yake?halafu alikuwa mkristo akatoroka akenda kuoa wake 40 akawa muislam
Kaanza kulewa sifaTwendeni chato wanangu, utalii wa ndani unatusubiria.View attachment 1151847View attachment 1151848
Kafunzwa adabuNasikia baada ya kusifiwa na jiwe kaanza kutongoza hadi twiga
Faru ayubu hana tija anaumwa kishuga hivyo hawezi kudandia.Faru JOBU ni yupi hapo?
Faru nyani ngabu !Hivi nani huwa anakuja na hayo majina ya hao Faru?
Yanachekesha!
halafu alikuwa mkristo akatoroka akenda kuoa wake 40 akawa muislam
Aliamua kufuata dini ya mama yake, faru Hidaya 😂😂😂Sio alibadili dini baada ya kufiwa na baba yake?
Hiyo ni sauzi lakiniTwendeni chato wanangu, utalii wa ndani unatusubiria.View attachment 1151847View attachment 1151848
Faru Rajabu ni dawa za kuvu ya kiume hizo kama congo dustHaya yanayoongelewa hapa siyaelewi kabisa. Huyo faru rajabu anaishi wapi? ana umaarufu gani?