comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jf
Salaam.
Faru weusi wana asili pekee ya Afrika ni wanyama adimu kwa maana wapo hatarini kutoweka kutokana na mahitaji ya binadamu wasio na nia njema, kuna matukio mengi yanapelekea wanyama hawa wapungue sana mfano Magonjwa, kuingilia mfumo wao wa kuzaa kama utawahamisha bila kujali ikolojia yao, vilevile ujangili kwa wasio na uchungu na wanyama hao, uchache wao katika nchi za Kiafrika hususani Tanzania kuna tia shaka ya uwepo wao miaka ijayo, kuna taasisi ya uhifadhi ya dunia inaitwa IUCN imewaweka Faru katika orodha ya kutoweka katika Appendex 1 na red list duniani, hivyo wasipotunzwa kwa uangalifu huenda tusiwaone kabisa katika uso wa dunia , hivyo serikali ione haja zaidi kuchagua watu waaminifu ili wanyama hao wasipotee.