tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.
Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.