Faru Ndugai ameanza fujo tena Ngorongoro Crater.

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.

Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
 
Huyo Faru Ndugai ana matatizo ya akili, si mnajua baada ya kudumu kwenye matibabu kwa muda fulani hivi kule ughaibuni.

Siku nyingine muwape majina mfano wa rasilimali zetu bana kama Faru Makinikia ndio poa zaidi
 
Ha haa! Hii kali.. Salamu nyingi sana zimfikie Faru Ndugai, siku ile ya makinikia (kwenye ile mbuga iliyopo kwenye jimbo la Zungu) alitoa speech nzuri sana mpaka sikuamini kama kweli speech ile ilitoka kwa Faru Ndugai...
 
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.

Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
Kuna mambo tz
 
Hata sielewi, labda weka nyuma zaidi

Wengine hatujui Kama kuna faru huyo
Ni jina halisi la Faru mmojawapo hapo Ngorongoro kwa heshima ya Spika Ndugai kwani aliwahi kufanya kazi kama mhifadhi wa wanyamapori Bonde la Ngorongoro miaka ya nyuma
 
Huyu Faru atakuwa keshaona eneo lake la utawala kuna faru Bashite labda analimendea mendea hofu yangu asije akawa na bakora kama Ndugai mwenyewe , nadhani mnajua atafanya nini
 
Back
Top Bottom