Faru John wajanja walishamnywa kitambo, pembe zilizoonyeshwa ni za faru "Hadija"

Pembe ni za Hadija,

Je Faru John yuko wapi? naanza kuhisi huenda yuko hai na yuko somewhere far from here.
 
Kwani Mungu aliumba majina? Una uhakika gani majina tunayotumia yalikua kwa ajili ya binadamu na si viumbe vingne? Vipi wale wanaoita watoto Komba, Tembo, Simba, Chui n.k hapa unafunza nini jamii? Kuna mambo inabidi kupunguza mihemko
Pombe, Kigoda, banana.....
 
Maja wakaushie tu fanya ishu nyingine
Pesa si mmezibana bot wapiga dili sasa ivi wanatumia akili tu si kama zamani wanafanya dili kweupe kila mtu anaona
 
Nyalandu hapo lazima ahusike kwa zaidi ya 50% maana alipata jeuri ua pesa gafla wakati uchaguzi umekaribia....gafla kutoka kwenye range rover la mwaka 1995 mpaka kumiliki Nissan Patrol model ya 2015 zaidi ya mil.200 sidhani kama palikua na deal ya kawaida......
PM kama zoa zoa ikianza huyu jamaa nae akahojiwe
 
Faru Hawa walizaliwa na majjna yao? walibatizwa lini?

Tunawafunndisha nn watoto na vizazi vijavyo, tuacha tabia ya kuwaita mbwa, faru majina ya binadam na ndio maana Mungu alitumba tofauti, binadam na wanyama, wanyama tuwape au tuwatafutie Majina yao, ya binadam yabaki ya binadam
Kwani john au simba kwenye kiswahili ipi ni nomino na ipi ni kitenzi hapo..?
 
Anafuatiliwa sana kwa kuwa ni wa dini yetu!!!!..........teh teh...(natania tu.)
 
Watu walimnywa December, 2015 kipindi ambacho hatukuwa na Cabinet eti tunabana Matumizi ya Mishahara ya Mawaziri kila Mtu akaotesha Sharubu ofisini kwake[/QUOTE
Ifike mahali tuseme yatosha. Kiongozi yeyote amebeba dhamana ya watz. Hivyo anawajibu wa kuwajibika iwapo ameshindwa kutekeleza wajibu wake
 
Kwani Mungu aliumba majina? Una uhakika gani majina tunayotumia yalikua kwa ajili ya binadamu na si viumbe vingne? Vipi wale wanaoita watoto Komba, Tembo, Simba, Chui n.k hapa unafunza nini jamii? Kuna mambo inabidi kupunguza mihemko
Huyu jamaa atakua anasali kwa mzee wa upako au gwajima ndio maana kapata uchungu bila kuwaza binadamu pia kaiba majina ya wanyama
 
Acha Faru Khadija naye avume hata kidogo jamani!.....hakuna dhambi mbaya kama kumdanganya mtu hadharani, wakitumbuliwa hadharani.....utasikia ooooh sijui nini!..…..…shida tupu
 
Back
Top Bottom