Faru John huyu hapa, lindo lake lilikuwa Sh225,000 kwa kila siku

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Serengeti. Wakati Waziri Mkuu ameagiza kaburi la Faru John lifukuliwe na kuchukuliwa vipimo vya vinasaba kuthibitisha kama pembe alizopelekewa ni zake, mabaki yanayoaminika kuwa ni ya mnyama huyo (pichani) yameonekana yakiwa porini katika eneo la Grumeti, wilayani Serengeti alipofia.

Vilevile, gazeti hili limebaini kuwa kabla ya kifo chake, Faru John alikuwa analindwa kwa gharama ya Sh225,000 kila siku.

Faru John alihamishiwa Grumeti, Desemba 17, mwaka jana na kufa Agosti 18, mwaka huu katika mazingira yanayodaiwa kuwa tata.
Chanzo ni Mwananchi
faru_pic.jpg

[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
 
View attachment 450115
YOTE YATAFAHAMIKA TU MTAJISEMA WENYEWE
 
Wananchi wana njaa na ajira hamna kwanini magazeti msiweke coverage habari kama hizo
 
Sijakuelewa ulichoandika/maanisha mkuu. Embu na wewe rudia kusoma ulichoandika uone imekaaje.
kuwa kabla ya kifo chake, Faru John alikuwa analindwa kwa gharama ya Sh225,000 kila siku.
 
Serengeti. Wakati Waziri Mkuu ameagiza kaburi la Faru John lifukuliwe na kuchukuliwa vipimo vya vinasaba kuthibitisha kama pembe alizopelekewa ni zake, mabaki yanayoaminika kuwa ni ya mnyama huyo (pichani) yameonekana yakiwa porini katika eneo la Grumeti, wilayani Serengeti alipofia.

Vilevile, gazeti hili limebaini kuwa kabla ya kifo chake, Faru John alikuwa analindwa kwa gharama ya Sh225,000 kila siku.

Faru John alihamishiwa Grumeti, Desemba 17, mwaka jana na kufa Agosti 18, mwaka huu katika mazingira yanayodaiwa kuwa tata.
Chanzo ni Mwananchi
View attachment 450115
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]

Bichwa lako la habari 215,000 utumbo wako wa habari 225,000.

Bichwa lako au utumbo wako ndiyo sahihi kwako?
 
Huyo alishatembea mbele,kwani faru john ana msaada gani kwa watz.acha apotee tu
 
Bichwa lako la habari 215,000 utumbo wako wa habari 225,000.

Bichwa lako au utumbo wako ndiyo sahihi kwako?
Halafu FF sazingine unakuwaga na vigongo! Hivi hauelewi unayemjibu mambo ya bichwa na utumbo, yaweza akawa mmeo siku1. Sijui ukiolewa naye unaweza ukawa unamjibu mambo ya utumbo,sijui bichwa! Inawezekana kweli? Ninafikiria tu kwa sauti lkn!
 
Labda ili tuelewe thamani ya faru John tungejua pato lake aliloliingizia taifa kupitia utalii. Tujue pato hilo ni sawa na tani ngapi za madawa na madawa hayo yameokoa maisha ya Watanzania wangapi? Kweli kuongoza nchi ya watu wenye akili za baadhi ya watanzania ni mzigo mzito. Ikulu ya magogoni ni mzigo mzito kwa mwenye nia ya dhati ya kuwa saidia watz.

Na washawasha!
 
Gazeti hili ndio gazeti gani? Naona mpo kuhalalisha upotevu wa Faru John kwa propaganda.
Tunasubiri majibu ya tume ya waziri Mkuu
 
Back
Top Bottom