Farkhina this is for you

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,530
These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya mapishi ambayo imekuwa msaada mkubwa mno hasa kwa wale waliofuatilia kwa umakini na wale wanaojali afya zao na za wapendwa wao! to me you are more than a chef expert! THANX N KEEP IT UP!!! USICHOKE
 
Wivu sinaaaaaaa, Japo mi sijasifiwa. :(

Lkn usemayo ni kweli honey
 
Juhudi za farkhina kwa miezi mingi sasa imelifanya jukwaa la mapishi kupanda chart na kuwa moja ya majukwaa maarufu hapa jamvini. Hongera zako nyingi Farkhina.
 
Last edited by a moderator:
These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya mapishi ambayo imekuwa msaada mkubwa mno hasa kwa wale waliofuatilia kwa umakini na wale wanaojali afya zao na za wapendwa wao! to me you are more than a chef expert! THANX N KEEP IT UP!!! USICHOKE

Yani pamoja na elimu yote anayotoa bidada mi hata sijui kupika
sijui ni kichwa ngumu......
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    31.8 KB · Views: 305
Juhudi za farkhina kwa miezi mingi sasa imelifanya jukwaa la mapishi kupanda chart na kuwa moja ya majukwaa maarufu hapa jamvini. Hongera zako nyingi Farkhina.
Naomba pongezi zisindikizwe na lile song ila kurusha wowowo
sijui hata linaitwaje wanaimba " amalediiiiii amalediiiii"
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom