Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,754
These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya mapishi ambayo imekuwa msaada mkubwa mno hasa kwa wale waliofuatilia kwa umakini na wale wanaojali afya zao na za wapendwa wao! to me you are more than a chef expert! THANX N KEEP IT UP!!! USICHOKE