Faridi & chilunda bye bye ijue CD Tenerife B

Cha muhimu ni kujituma tu. Hard work itawafikisha mbali, scouts watawaona kirahisi kule kuliko wakiwa Simba au Yanga
 
Hapo ndio wabongo tunachemka,hivi ukipata history ya kina E'too kina drogba,na wachezaji wengine wa west afriaka unadhani walianzia timu kubwa kubwa?hadi wengine walikwenda wakawa hakuna mshahara yeye ni kupewa chakula tu na wakavumilia sasa wako mbali!!wewe unataka utoke hapa moja kwa moja ukachezee man utd hizo ni ndoto za mchana.
Unajua etoo alipoanzia au unasem la tu
 
Hapo ndio wabongo tunachemka,hivi ukipata history ya kina E'too kina drogba,na wachezaji wengine wa west afriaka unadhani walianzia timu kubwa kubwa?hadi wengine walikwenda wakawa hakuna mshahara yeye ni kupewa chakula tu na wakavumilia sasa wako mbali!!wewe unataka utoke hapa moja kwa moja ukachezee man utd hizo ni ndoto za mchana.
Nashauri tuache kudanganya umri huyo nahisi kuna kitu hakipo sawa Ulaya hawana wivu na mtu kwenye mpira sisi wachezaji wetu in ltatizo
 
Hapo ndio wabongo tunachemka,hivi ukipata history ya kina E'too kina drogba,na wachezaji wengine wa west afriaka unadhani walianzia timu kubwa kubwa?hadi wengine walikwenda wakawa hakuna mshahara yeye ni kupewa chakula tu na wakavumilia sasa wako mbali!!wewe unataka utoke hapa moja kwa moja ukachezee man utd hizo ni ndoto za mchana.
Alikosa pa kufikia Ulaya.... Akawa analala Airport, wazungu hawakuamini why hakufa kwa baridi lile!
 
Ridhiki ya mbwa iko miguuni.ngoja wakapate exposure.Uko channel zakutoboa ni nyingi tofauti na uku bongo.na lazima ujue kila kitu ni jitihada.
 
Kama ulikuwa hujui FARID MUSA amejumuishwa katika kikosi A Cha TENERIFE na CHILUNDA ametambulishwa kwenye timu A hachezi timu B kwahyo wote watakuwa Segunda league
 
Chilunda
Screenshot_20180808-211654.jpg
Screenshot_20180808-124550.jpg
Screenshot_20180808-065656.jpg
 
Analipwa shilling ngap kwan? Tuanzie hapo ili tujue kama anafanan na mbao fc au ni polojo tu za watz
 
Back
Top Bottom