willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,026
- 1,179
Hio ndio thamani ya club inasikitisha kwa kweli huku ni kuharibu vipaji vya wachezaji wetu hasa chilunda ndo unaenda kupotea kabisa kwenye ramani ya mpira
View attachment 808954
Nadhani hata club zetu za hapa nyumbani zinathamani kubwa kuzidi hii timu tenerife b waliosaini faridi musa na shabani iddi chilunda hata mbao tu inathamani na mashabiki wengi kuzidi haka ka timu ka daraja la nne huko spain
View attachment 808958
Angalia hapa kikosi chao
View attachment 808960
Na msimamo wa ligi unavoendelea
View attachment 808961
Mbaya zaidi ni jinsi ligi nzima ilivo
According to wikipedia “Tangu mwaka wa 2006, División ya Tercera ina timu 360 zinazogawanywa katika vikundi 18 vya kikanda, vinavyolingana na jumuiya za Uhuru za Hispania (kutokana na ukubwa wake mkubwa, Andalusia imegawanywa katika makundi mawili tofauti, Mashariki na Magharibi; Ceuta imetengwa kwa West Andalusia, wakati Melilla imetengwa kwa Mashariki). Kila kikundi kinasimamiwa na shirikisho la soka ya kikanda. Mwishoni mwa msimu timu nne za kwanza katika kila kikundi zinastahili kupiga kura za kuendeleza ili kuamua ni timu zenye kupandishwa kwa Segunda División B. Bila shaka timu tatu za kumaliza chini ya kila kikundi zinaweza kuhamishwa kwa Divisiones Regionales de Fútbol. Hata hivyo idadi ya timu iliyotengwa inaweza kutofautiana. Mabingwa wa kikundi kumi na nane pia wanahitimu Copa del Rey msimu uliofuata. Hata hivyo timu za hifadhi hazipatikani. Pamoja na timu za Segunda División B, timu iliyobaki kutoka mgawanyiko kushindana katika Copa Federación."
Yaan kama tunavosema huku tanzania ligi ya jimbo tu yaan ni aibu wachezaji wetu kucheza ligi za majimbo spain kwenye club ambayo inayozidiwa thamani na mbao fc au manyema fc
Nb
Hawa ndo tunaotegemea taifa stars hatuwezi fika popote tukiendelea kutegemea wachezaji wetu wanaocheza ligi za majimbo