Faraja ipatikanayo katika ndoa/familia

Eternal_Life

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
812
1,672
Ndoa ni jambo jema na lililo barikiwa na Mwenyezi Mungu.Japo kuna wakati mapungufu hayakosekani kwenye ndoa ila faida zake ni nyingi sana.
Unapokuwa na ndoa yenye amani,mke/mume mwenye furaha inaleta faraja kubwa sana kwa watoto na upendo uongezeka.

Kuna wakati mtu unakuwa na stress na mambo mengi yamekusonga,pindi ukumbukapo kuna watu wako nyuma yako(mke/mume/watoto)unapata tabasamu la furaha ndani ya moyo wako.
 
Uko sawa hujakosea japo AMANI ya kiwango cha juu sana huletwa na PESA.hiyo ndo kila kitu ndugu inayosababisha Mke/Mume/Watoto kua na amani muda wote
 
Uko sawa hujakosea japo AMANI ya kiwango cha juu sana huletwa na PESA.hiyo ndo kila kitu ndugu inayosababisha Mke/Mume/Watoto kua na amani muda wote

Mkuu pesa haileti amani,kuna ndoa pesa ipo lkn amani na furaha hakuna
 
Kweli ndoa tamu
19050407_1799054540408353_769902385643388928_n.jpg
 
Uko sawa hujakosea japo AMANI ya kiwango cha juu sana huletwa na PESA.hiyo ndo kila kitu ndugu inayosababisha Mke/Mume/Watoto kua na amani muda wote
Huo ndo ukweli mchungu ambao baadhi ya watu wanapinga...Pesa ndo kila kitu.
 
Uko sawa hujakosea japo AMANI ya kiwango cha juu sana huletwa na PESA.hiyo ndo kila kitu ndugu inayosababisha Mke/Mume/Watoto kua na amani muda wote
Mkuu unasema vile labda hizo pesa hauna ndio maana unadhani pesa kuwa ndio inaleta amani ya juu. La hasha!
Naunga mkono hoja ya mtoa mada!
 
Mkuu unasema vile labda hizo pesa hauna ndio maana unadhani pesa kuwa ndio inaleta amani ya juu. La hasha!
Naunga mkono hoja ya mtoa mada!
Pesa ninazo.soma nilivyoanza kuandika sentensi ya kwanza utaelewa nilichomaanisha.wala sijampinga mtoa mada ila nilikua namwambia habari ya PESA.hata nafsi yako ni shahidi.tafuta mgonjwa wa HIV asiye na pesa nyingi wala kiwango cha kati na mtu mwenye HIV aliye na pesa nyingi za kukidhi mahitaji.ingia kwenye mind yao utakuta tofauti yao ilivyo kubwa.usicheze na kitu kinaitwa PESA
 
Back
Top Bottom