Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,672
Ndoa ni jambo jema na lililo barikiwa na Mwenyezi Mungu.Japo kuna wakati mapungufu hayakosekani kwenye ndoa ila faida zake ni nyingi sana.
Unapokuwa na ndoa yenye amani,mke/mume mwenye furaha inaleta faraja kubwa sana kwa watoto na upendo uongezeka.
Kuna wakati mtu unakuwa na stress na mambo mengi yamekusonga,pindi ukumbukapo kuna watu wako nyuma yako(mke/mume/watoto)unapata tabasamu la furaha ndani ya moyo wako.