Wapi huko?Ushuhuda; hapo nyuma miezi miwili mitatu hivi walikuwa wanatoa fao la kukosa ajira ,ila tulitaarifiwa( wiki mbili zilizopita na mm nkiwemo) tukachukue fomu za fao la kujitoa na mchakato ukaanzia hapo. Hivyo kwa lugha nyepesi ni kuwa FAO LA KUJITOA lipo na pesa unapata yotee! Naongea nkiwa ni muhanga hapo kabla na mnufaika wa sasa ivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela zote tumepeleka kwenye vitu vya maana - SGR, Stieglers Gorge, Airport no.Habari wana JF, niende kweny mada moja kwa zote hivi hili jambo mrejesho wake upoje. Hivi ni kweli mtu ukiacha kazi au kuachishwa unapewa NOTI zako zote? Aneyefahamu hebu atiririke humu nasi tupate faida