Fao la kujitoa mifuko ya Hifadhi ya Jamii kurudishwa

Ila sijaelewa watu wanaanza kupata chao kwa wanaohitaj with imediate effect au inakuwaje!
 
Kwa walio mbali na runinga mh. Kabaka amelitangazia bunge kuwa fao hilo linaendelea kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Chezea peoplessssss! power weye!:A S-baby:
 
cacico njoo
Serikali yetu haiaminiki hata kidogo,Nadhani wataenda kujipanga upya watoke vip.
 
Last edited by a moderator:
Funguka pepekale maana niko kwenye net mbali kabisa na tv, imekuwaje tafadhari maana patamu hapooo
 
Ngoja mwezi december nkachukue form ya ku claim vihela vyangu! Nlikua nshapoteza some kgs bse ya huo mswada!
 
cacico njoo
Serikali yetu haiaminiki hata kidogo,Nadhani wataenda kujipanga upya watoke vip.
FirstLady ujue mie hiyo pesa imenifanya kwenye vikao vya wakina mama mtaani kwetu, nimehawamisha woteeeeee kutoka CCM kwenda CDM, tena huwa nakwenda na nondo zangu kichwani naprint na shahidi mbalimbali kuwaonyesha kuwa ccm sio chama, haswa kuhusu fao la kujitoa! narudia kusema watupe pesa yetu haraka sana, na WASIRUDIE TENA KUTULAZIMISHA KUWAKOPA, i hate ccm, i hate the government na kila aliyeshiriki kwa namna moja au nyingine kuzuia fao la kujitoa!
 
Kwa walio mbali na runinga mh. Kabaka amelitangazia bunge kuwa fao hilo linaendelea kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Chezea peoplessssss! power weye!:A S-baby:
kuanzia lini?? nataka haraka sana nikadai, tunaruhusiwa lini kwenda kuanza kuchukua?? nilishajaza forms zao, bado kufungua madai tu, naombeni kujuzwa tafadhali!
 
FirstLady ujue mie hiyo pesa imenifanya kwenye vikao vya wakina mama mtaani kwetu, nimehawamisha woteeeeee kutoka CCM kwenda CDM, tena huwa nakwenda na nondo zangu kichwani naprint na shahidi mbalimbali kuwaonyesha kuwa ccm sio chama, haswa kuhusu fao la kujitoa! narudia kusema watupe pesa yetu haraka sana, na WASIRUDIE TENA KUTULAZIMISHA KUWAKOPA, i hate ccm, i hate the government na kila aliyeshiriki kwa namna moja au nyingine kuzuia fao la kujitoa!

kweli sasa ni kufanya kampeni any time tunapopata chance
CCM wanatuuma na kupuliza
hatuwataki
 
believe me not, hakuna kitu kimeniuma kama hiyo pesa ya NSSF, nilikuwa sielewi nitaisubirije eti mpaka nifikishe 60yrs! who ever spoke of that is mad nakwambia!
 
Ngoja nidraft barua yangu ya kuresign, hawakawii kubadilika hawa...
 
Ingawa nimemsikia huyu mama asubuhi hii akiliambia bunge kuwa fao la kujitoa limerudishwa binafsi sija amini ki vile!

Hapo kuna mchezo unataka kuchezwa apo! wafanyakazi tuendelee kuwa ngangari kabisa!
wabunge wetu wapiganaji waendelee kukomalia mswaada urudishwe bungeni ujadiliwe na utolewe maamuzi!
Tusiamini amini maneno matam matam toka huyo mama, anaweza kutugeuka anytime, tunawajua sana tuu wamagamba na michezo yao michafu
 
FirstLady ujue mie hiyo pesa imenifanya kwenye vikao vya wakina mama mtaani kwetu, nimehawamisha woteeeeee kutoka CCM kwenda CDM, tena huwa nakwenda na nondo zangu kichwani naprint na shahidi mbalimbali kuwaonyesha kuwa ccm sio chama, haswa kuhusu fao la kujitoa! narudia kusema watupe pesa yetu haraka sana, na WASIRUDIE TENA KUTULAZIMISHA KUWAKOPA, i hate ccm, i hate the government na kila aliyeshiriki kwa namna moja au nyingine kuzuia fao la kujitoa!

uko kama mimi!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom