Fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi

tulia mkuu usiwe na wasiwasi hiyo haiwezekani kujitoa ni hiari ya mtu kuchukua mafao yake au asubili hadi afikishe miaka 55
 
Fao la kujitoa limefutwa hivyo ukiacha kaz au kufukuzwa hutaweza kuchukua pesa yako kama ilivyokuwa zamani!! Utatakiwa kusubiri hadi ufikishe miaka 55 kwa hiari au 60 kwa lazima, kuna thread humu tumejadili sana itafute usome vizuri utaelewa!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom