Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa

  • Thread starter Vladimirovich Putin
  • Start date

Mkorintho wa 6

Mkorintho wa 6

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
264
Points
500
Mkorintho wa 6

Mkorintho wa 6

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
264 500
Kitunguu ni kiungo cha mboga na wengi hutumia sana kwenye mboga kama ina kazi hiyo kwanini watu waendelee kulia na nguvu za kiume?
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
8,320
Points
2,000
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
8,320 2,000
1. Kubana na kuachia mkojo,
2. Kukimbia angalau dakika 30 kwa siku,
3. Kunywa maji mengi kufanya mishipa ya ubow kuwa imara zaidi.
 
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,586
Points
2,000
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,586 2,000
What i believe ni kwamba suala ya kuwahi kumwaga na kuchelewa kusimama zaidi ni suala la saikolojia yako wakati wa sex.

Angalia sana unasex na nani kwa muda huo pia jitahidi ule vizuri na kushiba kila wakati.
Mara saikolojia mara kula vizuri dah mnajizonga kweli yani.

Saikolojia haihusiki hapo bhana
 
H

Hezboy

New Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
1
Points
45
H

Hezboy

New Member
Joined Sep 29, 2018
1 45
Natumaini mu wazima Wa afya tele mkiendelea na harakati za kulijenga Taifa letu kwa kasi kubwa !! Mungu akapate kubariki kazi ya mikono yako na Taifa letu

Twende pamoja sasa !!!

Wanaume tumekua katika wakati mgumu sana ile jioni tunapotoka katika mihangaiko yetu na wakati mgumu sana pale unapokua Muda Wa kulala umefika na Wakati mgumu zaidi pale unapotambua mwenzi wako anakuitaji kimwili !! Hapa ndipo Hofu ile inapoanzia hofu inayokupa maswali Mengi, maswali yanayokuumiza kichwa na kujiona kama mwanamme Mnyonge sana mbele ya mwanamke wako !!!

Sijui Leo nitafanya Mara ngapi?? Je nitampa kamoja tu??? Je nitamwaga ndani ya dakika mbili kama Jana ??? Je Leo pia Uume utakua lege lege?

Je, nitamfanya afike kileleni (Hili ni somo lingine. Naufahamu asilimia 90 ya wanawake hawajawahi kufikishwa kileleni au kukojoleshwa, wengi wao huwa wanaigiza kukojoleshwa) Mmmmhhhhh mambo yanazidi kua mambo.

Tuendelee zetu wakuu !!! Mdogo mdogo kama lkn tutafika

Hayo yote ni maswali machache ambayo hutufanya kuona chumba ni kidogo na usiku ni mrefu!!! Usilie Leo nakupa mavitu ya KITAALAM zaidi na Utafurahi na atakufurahia na utanipa majibu mazuri zaidi. Piga makofi basi.

SASA naomba Muscles, Brain, Nerves zako zote uwe makini ktk haya nitakayoyasema!!!, Utaenda kuyatibu matatizo yako yote ya tendo la ndoa, No matter una kibamia au mpini!!!!

Haya ndiyo mambo yakufanya Ambayo hutotumia garama na nirahisi kufanya na hayatumii muda na yanasaidia 98% tuseme tu 100% au sio wakuuuu ,!!! Kuanzia Leo naamini utaimarisha misuli ya Uume wako ,,utaufanya kua na nguvu ,, utaufanya usimama haraka baada ya kumwaga ,,kwaiyo mtafurahishana sana kwakua hamu utakua pale pale na Uume utakua wenye nguvu !! Naam tuendelee sasa .

1) MAZOEZI YA KEGELI .
KEGELI ni nini ??? Kegeli ni msuli Wa chini unaopatikana katikati ya Anus na scrotum( mahali ambapo kifuko cha kubebea korodan kinaanzia ). Mkuu Bado tu hujapapata ???? Usijali twende pamoja !!! Je Umewahi kua unakojoa alafu ukasimamisha mkojo gafla usitoke kisha ukaendelea kukojoa ???? Kama bado Leo wakati unakojoa ,, jaribu kusimamisha mkojo usitoke kisha endelea kukojoa ,,simamisha tena ,,kisha kojoa ,,alafu simamisha tena ,,kisha acha utoke ,, ,,Msuli uliokusaidia usimamishe mkojo japokua kibofu bado kinamkojo ndio unaitwa KEGELI !! hapa naamini wakuu tunaenda pamoja sasa !!!.
napicha iyo wadau !!!!

Sasa baada ya kujua Msuli Wa kegeli Fanya ivi ,,,Hakikisha upo mahali ambayo haiyofanya misuli mingine yamwili kufanya kazi,, datz umekaa mahali popote hata ofsin au garin ,,popote yaan ..eeeeeehhhhhhh

Kisha anza kufanya km UNASIMAMISHA MKOJO usitoke ( hapa unajua hukojoi ) yaan una ashumu km unakojoa lkn hukojoi ,,lengo nikuanza kuuvuta huu msuli,, Simamisha kwa sekunde anza 2-3-4-5-----9 unaposimamisha unahold on kwa izo sekunde kisha unaachia unahold on unaachia ,, Fanya ivo kwa Mitupio thelathini kila unapopata muda ( usipungue mitupio 30 Mara tatu kwa siku ,,yaan uanzia angalau mitupio 90 kwa siku )
Faida ..... 

-Kegeli hukomaza misuli ya Uume .
-Kegeli hukomaza mishipa ya dam uumeni .
-Nirahisi ,,sio garama ni time saver !!


2/ BAKIA KUA MWENYE MAJI MWILINI .

wanaume wenzangu Kua wakavu mwilin umekua sababu kubwa ya uume kua legelege kusimama .

Naomba mjue kua ili Uume usimame vzuri nilazima kuwepo na Flow nzuri ya Damu mwilin nakiasi kingi cha damu mwilin....asilimia 70 ya damu nimaji .... Ivyo unavyokua unakunywa maji unaonheza kiwango cha damu ,,unaongeza na flow yadam ,, kwaiyo inasaidia sana wakati watendo dam kuflow nyingi uumeni nahuo ndo mwanzo wauume kusimama haraka na ulojaa na wenye nguvu !!!!

Kuanzia Leo hakikisha unakua MTU wakunywa maji kama Rey kwajili ya Uume wako !!!!! Mavitu hayoooo !!!.

3/ MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI .

Hivi nivitu ambavyo wengi tunavidharau ,,kuvitumia mpaka tuwe tunauumwa ???? Khaaaahh brother haupo serious na mwanamke wako !!!

MATUNDA na MBOGA ,, ni kitu vyenye utajiri mkubwa Wa Vitamin,, Madini ,, Phytochemicals,, Antioxidants ... Vitu hivi kwa pamoja Husaidia Nerves kufanya kazi vzur ,, husaidia misuli kufanya kazi vzuri na mwisho vinatumika kutengeneza Damu ...

N.b ,, the low amount of blood the low the kudidisha Uume wako

4)-MAZOEZI YA VIUNGO .
Aisee hapa sizungumzi kunyanyua mivyuma mizito utazan unajiandaa kupambana na ile mijitu mikubwa kwwnye muvi ya " Jack and the Giants Slayer "" .. Kufanya mazoezi yaviungo husasani yanayohusiana na upumuaji ( pumzi ) ni vzuri sana !!! Kwan Pumzi nimuhimu mno ktk suala ndoa. Na pia mazoezi yaaina hii husaidia misuli kuunguza nishati kwa kasi nzuri .

Fanya mazoezi bro , otherwise Juma mcheza mpira atakupigia mwanamke !!.

5/BAKIA KUA MTU POSTIVE .
Wakuu hakikisha huwi MTU Wa mawazo na HUNA mawazo wakati upo mapajani mwa mwanamke ,,Stress kills sex ,, nanaomba utambue Sex start in Mind ,, kwaiyo usiwe namawazo ,, Jiamin,, jiongoze ,, jione we ni great lover mzuri ,,, nakuhakikishia Mwili wako lazima utafuata mawazo yako tu kaka !!! Na mtoto utampa huduma matata KIASI kwamba kila akiwaza sex ,,anakuwazia kufanya sex Naww tuuu.

6// TABIA YA KIAFYA .
Wakuu kwa ubora mzuri kitandan nivema ukaachana na tabia ya uvutaji sigara ,, pombe ,, nakadhalika ,, kwa kua hivi nivitu vinavyoathiri Reproductive system moja kwa moja !!!!.

Namwisho ngoja niwape kitibabu kidogo.

KITUNGUUUUUUU KITUNGUUUUU KITUNGUUUUUUUU.

Wakuuu km suala LA kudidisha nitatizo ....Uume legelege ,, HUNA ham ya kurudia tendo ,,ukiwa nayo Uume unasimama km mlenda ,, Baada ya kufanya mambo hayo juu niloyataja ,,

Nunua vitunguu na Asali ,,weka kwako .... Chukua vitunguu viwili ,to a maganda ,, kisha toboa kitundu kidogo juu ya kichwa cha kitunguu na chini kwenye eneo LA mizizi ..viweke kwenye kibakuli ,,, mwagia asali katika kitundu cha kichwan mwa kitunguu hakikisha kila kitunguu kimewekwa asali ,,, kisha vifunike .....USIKU BAADA YA KULA CHAKULA CHA USIKU CHUKUA KIMOJA TAFUNA ,,ENDELEA NA RATIBA NA MWENZI WAKO ,,ASUBUHU TAFUNA KILICHOBAKI ,,NA ANDAA VYAUSIKU UNAOFUATA ,,FANYA IVYO KWA MWEZI NAHATA UKIONA KIKA SIKU NISAWA TU MAANA VITUNGUU VINATIBU NAMAGONJWA MENGI NAHAVINA ATHARI ....KWA KUFANYA IVYO UTAKUA UMEEPUKANA NA MATATIZO YOTE YATENDO LANDOA ..UWE UMEZALIWA HUSIMAMISHI !!!

naomba mkishafanya hayo ,, msisite kunipa FEEDBACK wakuuu !!!!
funika km ivi acha kuanzia asubuhi usiku tumia .
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
15,391
Points
2,000
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
15,391 2,000
Hamna namna mzee

Mimi huwa naamini ,heshima ya kwanza kwa mwanamke ni mbooo, yaan mkaze kweli kweli tuu mpaka akiwa naham anakuwaza we kwanza.


Mara mia akutukane "Muone Mwanaume suruali".... Alafu baadae akishikwa nyege anakuletea mzigo.

Kuliko akutukane, " Mwanaume gan usoniridhisha"......alafu anaenda kupigwa na Jamaa hana kitu naww unafuba
 
chief swetu

chief swetu

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
146
Points
250
chief swetu

chief swetu

Senior Member
Joined Aug 13, 2015
146 250
Mkuu hiyo ya Kwanza nimejaribu kuifanya nimeishia tu Kunya kabisa nahisi Misuli ya Mkuyengeni na ule wa Chooni imeshindwa kupeana Signals za ushirikiano. Je utanisaidiaje ili nami niiweze hiyo KEGEL kwani nahisi ni moja ya Tiba nzuri mno ya kuimarisha heshima ya Ndoa!
mkuu ni ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chief swetu

chief swetu

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
146
Points
250
chief swetu

chief swetu

Senior Member
Joined Aug 13, 2015
146 250
Mwisho tutakuwa "wachawi" wajameni maana hizi nguvu za kiume kila siku tiba mpya! Yaani hata huyo demu mwenyewe akiingia room kwako anaeza kudhan anadate na mganga wa kienyeji... Any way ngoja nikanunue asal nianze dozi
Tuanze tu tiba hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,087
Members 494,437
Posts 30,849,123
Top