Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa

  • Thread starter Vladimirovich Putin
  • Start date

joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,506
Likes
4,943
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,506 4,943 280
1. Kukimbia nusu saa (30mins) walau mara 3 kwa siku...kutakupa pumzi.
2. Kunywa maji ya kutosha kila mara (room temperature).
3. Bana mkojo (kutakujengea uwezo wa kusugua kipochi manyoya bila kukojoa kwa haraka ka jogoo.
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,506
Likes
4,943
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,506 4,943 280
Epuka vyakula vyenye mafuta mengi kama chips, mayai, pia na vinywaji kama Soda na Energy drinks.
 
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,624
Likes
1,455
Points
280
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,624 1,455 280
Nunua vitunguu na Asali ,,weka kwako .... Chukua vitunguu viwili ,to a maganda ,, kisha toboa kitundu kidogo juu ya kichwa cha kitunguu na chini kwenye eneo LA mizizi ..viweke kwenye kibakuli ,,, mwagia asali katika kitundu cha kichwan mwa kitunguu hakikisha kila kitunguu kimewekwa asali ,,, kisha vifunike .....USIKU BAADA YA KULA CHAKULA CHA USIKU CHUKUA KIMOJA TAFUNA ,,ENDELEA NA RATIBA NA MWENZI WAKO ,,ASUBUHU TAFUNA KILICHOBAKI ,,NA ANDAA VYAUSIKU UNAOFUATA ,,FANYA IVYO KWA MWEZI...
.
Hichi kitunguu ni kitunguu gani. Vladimirovich Putin
Kitunguu maji au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
1,676
Likes
885
Points
280
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
1,676 885 280
Kaka,, hapa duniani MTU namba moja nayemkubali sana ukiwaacha wazazi ,, ni VLADIMIR VLADIMIROVICH LUTIN RAIS WA URUSI NA JASUSI ALIYEKUBUHU ..UYU BWANA NI ROLE MODEL WANGU KTKA MAISHA ..NYUMBAN KWANGU KILA SEHEM UTAKUTA PICHA ZAKE ,,UNAWEZA KUDHAN NDIO BANA MWENYE MJI ...ANYWAY ,,, WAKAT WAO WANAHANGAIKA NASAYANSI YA KIFIZIKIA ,,NAMM NAHANGAIKA NASAYANSI YA MWILI WAMWANADAM SO NGOMA DROO BROO.!!.
Dah inaonekanwa wanao wanapata tabu sana
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
1,676
Likes
885
Points
280
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
1,676 885 280
NASAHA NA USHAURI KWA WANAUME

Baada ya kutoka kuoga na kujikaisha maji na taulo safi

Kuwa na tabia ya kupaka mafuta ya habat soda katika uume wako,na si kuuchua
kuwa ndio maisha yako na mafuta haya

mafuta haya,huimarisha na kunyoosha mishipa


Shukran
Mpaka sehemu ya kicha?
 
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
2,557
Likes
1,518
Points
280
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
2,557 1,518 280
1. kegel,
2. MAZOEZI ya kukimbia na kubeba vitu vizito ili kupata pumzi ya ku-pump kipochi manyoya.
3. KUBANA MKOJO,
4.usile mavyakula ya mafuta mengi kama chips,
5. epuka mipombe,
6. PESA narudia PESA.
Mkuu kweny hiyo ya kubana na kuachia mkojo wakat wa kukojoa nmelithibitisha mm mwwnyewe linafanya kazi kwa asilimia kubwa.
 
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
2,557
Likes
1,518
Points
280
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
2,557 1,518 280
Pia wanaume tuangalie vyakula tunavokula tusile kama wanawake mwisho wa ck ndo haya ya kuumbuka msisahau pilipili kwwny kila mlo mnaokula inasaidia sana kuondoa mafuta mabaya yaani cholesterol au heremu na kufanya damu iweze kuzunguka vizur mwilini
Mkuu uko vizur sana pia matunda kama parachichi, tikit maji, Tangawizi, mdarasin
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,506
Likes
4,943
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,506 4,943 280
Mkuu kweny hiyo ya kubana na kuachia mkojo wakat wa kukojoa nmelithibitisha mm mwwnyewe linafanya kazi kwa asilimia kubwa.
Ni kweli mkuu. Huitaji dawa za kienyeji zaid ya hiyi
 

Forum statistics

Threads 1,262,357
Members 485,558
Posts 30,121,100