Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa

  • Thread starter Vladimirovich Putin
  • Start date

S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Messages
235
Points
250
S Sulayman

S Sulayman

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2018
235 250
KWA WALE WENYE DHAKARI NDOGO
Uume unaweza kuwa mdogo kulingana na sababu nyingi tofauti tofauti kama vile kufanyiwa operations; kupata ajali; kuugua ngiri na mambo mengine.
HIVYO BASI UNAWEZA KUUKUZA UUME WAKO KWA KUTUMIA NJIA NZURI YA ASILI NA ISIYO NA MADHARA .
MAHITAJI
Mafuta ya tembo
Mafuta ya mbarika
Unga wa karafuu
Mafuta au unga wa bunju

Changanya vitu hivyo vichanganyike vizuri ,

MATUMIZI
Chukua matone machache ya mchanganyiko huo kwa mkono wako kisha sugulia katika DHAKARI yako ikiwa imesimama ,
Utasugulia kwa dakika kadhaa huku ukiinyoosha
Utafanya hivyo kutwa mara mbili kwa matokeo mazuri, tumia dawa hiyo kwa siku 11-21 hapo utapata saizi uitakayo
Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi

+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,531
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,531 2,000
KWA WALE WENYE DHAKARI NDOGO
Uume unaweza kuwa mdogo kulingana na sababu nyingi tofauti tofauti kama vile kufanyiwa operations; kupata ajali; kuugua ngiri na mambo mengine.
HIVYO BASI UNAWEZA KUUKUZA UUME WAKO KWA KUTUMIA NJIA NZURI YA ASILI NA ISIYO NA MADHARA .
MAHITAJI
Mafuta ya tembo
Mafuta ya mbarika
Unga wa karafuu
Mafuta au unga wa bunju

Changanya vitu hivyo vichanganyike vizuri ,

MATUMIZI
Chukua matone machache ya mchanganyiko huo kwa mkono wako kisha sugulia katika DHAKARI yako ikiwa imesimama ,
Utasugulia kwa dakika kadhaa huku ukiinyoosha
Utafanya hivyo kutwa mara mbili kwa matokeo mazuri, tumia dawa hiyo kwa siku 11-21 hapo utapata saizi uitakayo
Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi

+255 655 821 550
Sulayman Sangida
Sasa hapo wadau si wataunganisha na Chaputa!!

Mafuta ya tembo???🤐🤐🤐🤐
 
relis

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,143
Points
2,000
relis

relis

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,143 2,000
KWA WALE WENYE DHAKARI NDOGO
Uume unaweza kuwa mdogo kulingana na sababu nyingi tofauti tofauti kama vile kufanyiwa operations; kupata ajali; kuugua ngiri na mambo mengine.
HIVYO BASI UNAWEZA KUUKUZA UUME WAKO KWA KUTUMIA NJIA NZURI YA ASILI NA ISIYO NA MADHARA .
MAHITAJI
Mafuta ya tembo
Mafuta ya mbarika
Unga wa karafuu
Mafuta au unga wa bunju

Changanya vitu hivyo vichanganyike vizuri ,

MATUMIZI
Chukua matone machache ya mchanganyiko huo kwa mkono wako kisha sugulia katika DHAKARI yako ikiwa imesimama ,
Utasugulia kwa dakika kadhaa huku ukiinyoosha
Utafanya hivyo kutwa mara mbili kwa matokeo mazuri, tumia dawa hiyo kwa siku 11-21 hapo utapata saizi uitakayo
Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi

+255 655 821 550
Sulayman Sangida
Sasa mkuu unataka tuwe majangili tuue tembo halafu hiyo mipini tukaitumie jela jaribu mafuta mbadala yakatuweka huru.
 
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
2,544
Points
2,000
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
2,544 2,000
Natumaini mu wazima Wa afya tele mkiendelea na harakati za kulijenga Taifa letu kwa kasi kubwa !! Mungu akapate kubariki kazi ya mikono yako na Taifa letu

Twende pamoja sasa !!!

Wanaume tumekua katika wakati mgumu sana ile jioni tunapotoka katika mihangaiko yetu na wakati mgumu sana pale unapokua Muda Wa kulala umefika na Wakati mgumu zaidi pale unapotambua mwenzi wako anakuitaji kimwili !! Hapa ndipo Hofu ile inapoanzia hofu inayokupa maswali Mengi, maswali yanayokuumiza kichwa na kujiona kama mwanamme Mnyonge sana mbele ya mwanamke wako !!!

Sijui Leo nitafanya Mara ngapi?? Je nitampa kamoja tu??? Je nitamwaga ndani ya dakika mbili kama Jana ??? Je Leo pia Uume utakua lege lege?

Je, nitamfanya afike kileleni (Hili ni somo lingine. Naufahamu asilimia 90 ya wanawake hawajawahi kufikishwa kileleni au kukojoleshwa, wengi wao huwa wanaigiza kukojoleshwa) Mmmmhhhhh mambo yanazidi kua mambo.

Tuendelee zetu wakuu !!! Mdogo mdogo kama lkn tutafika

Hayo yote ni maswali machache ambayo hutufanya kuona chumba ni kidogo na usiku ni mrefu!!! Usilie Leo nakupa mavitu ya KITAALAM zaidi na Utafurahi na atakufurahia na utanipa majibu mazuri zaidi. Piga makofi basi.

SASA naomba Muscles, Brain, Nerves zako zote uwe makini ktk haya nitakayoyasema!!!, Utaenda kuyatibu matatizo yako yote ya tendo la ndoa, No matter una kibamia au mpini!!!!

Haya ndiyo mambo yakufanya Ambayo hutotumia garama na nirahisi kufanya na hayatumii muda na yanasaidia 98% tuseme tu 100% au sio wakuuuu ,!!! Kuanzia Leo naamini utaimarisha misuli ya Uume wako ,,utaufanya kua na nguvu ,, utaufanya usimama haraka baada ya kumwaga ,,kwaiyo mtafurahishana sana kwakua hamu utakua pale pale na Uume utakua wenye nguvu !! Naam tuendelee sasa .

1) MAZOEZI YA KEGELI .
KEGELI ni nini ??? Kegeli ni msuli Wa chini unaopatikana katikati ya Anus na scrotum( mahali ambapo kifuko cha kubebea korodan kinaanzia ). Mkuu Bado tu hujapapata ???? Usijali twende pamoja !!! Je Umewahi kua unakojoa alafu ukasimamisha mkojo gafla usitoke kisha ukaendelea kukojoa ???? Kama bado Leo wakati unakojoa ,, jaribu kusimamisha mkojo usitoke kisha endelea kukojoa ,,simamisha tena ,,kisha kojoa ,,alafu simamisha tena ,,kisha acha utoke ,, ,,Msuli uliokusaidia usimamishe mkojo japokua kibofu bado kinamkojo ndio unaitwa KEGELI !! hapa naamini wakuu tunaenda pamoja sasa !!!.
napicha iyo wadau !!!!

Sasa baada ya kujua Msuli Wa kegeli Fanya ivi ,,,Hakikisha upo mahali ambayo haiyofanya misuli mingine yamwili kufanya kazi,, datz umekaa mahali popote hata ofsin au garin ,,popote yaan ..eeeeeehhhhhhh

Kisha anza kufanya km UNASIMAMISHA MKOJO usitoke ( hapa unajua hukojoi ) yaan una ashumu km unakojoa lkn hukojoi ,,lengo nikuanza kuuvuta huu msuli,, Simamisha kwa sekunde anza 2-3-4-5-----9 unaposimamisha unahold on kwa izo sekunde kisha unaachia unahold on unaachia ,, Fanya ivo kwa Mitupio thelathini kila unapopata muda ( usipungue mitupio 30 Mara tatu kwa siku ,,yaan uanzia angalau mitupio 90 kwa siku )
Faida ..... 

-Kegeli hukomaza misuli ya Uume .
-Kegeli hukomaza mishipa ya dam uumeni .
-Nirahisi ,,sio garama ni time saver !!


2/ BAKIA KUA MWENYE MAJI MWILINI .

wanaume wenzangu Kua wakavu mwilin umekua sababu kubwa ya uume kua legelege kusimama .

Naomba mjue kua ili Uume usimame vzuri nilazima kuwepo na Flow nzuri ya Damu mwilin nakiasi kingi cha damu mwilin....asilimia 70 ya damu nimaji .... Ivyo unavyokua unakunywa maji unaonheza kiwango cha damu ,,unaongeza na flow yadam ,, kwaiyo inasaidia sana wakati watendo dam kuflow nyingi uumeni nahuo ndo mwanzo wauume kusimama haraka na ulojaa na wenye nguvu !!!!

Kuanzia Leo hakikisha unakua MTU wakunywa maji kama Rey kwajili ya Uume wako !!!!! Mavitu hayoooo !!!.

3/ MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI .

Hivi nivitu ambavyo wengi tunavidharau ,,kuvitumia mpaka tuwe tunauumwa ???? Khaaaahh brother haupo serious na mwanamke wako !!!

MATUNDA na MBOGA ,, ni kitu vyenye utajiri mkubwa Wa Vitamin,, Madini ,, Phytochemicals,, Antioxidants ... Vitu hivi kwa pamoja Husaidia Nerves kufanya kazi vzur ,, husaidia misuli kufanya kazi vzuri na mwisho vinatumika kutengeneza Damu ...

N.b ,, the low amount of blood the low the kudidisha Uume wako

4)-MAZOEZI YA VIUNGO .
Aisee hapa sizungumzi kunyanyua mivyuma mizito utazan unajiandaa kupambana na ile mijitu mikubwa kwwnye muvi ya " Jack and the Giants Slayer "" .. Kufanya mazoezi yaviungo husasani yanayohusiana na upumuaji ( pumzi ) ni vzuri sana !!! Kwan Pumzi nimuhimu mno ktk suala ndoa. Na pia mazoezi yaaina hii husaidia misuli kuunguza nishati kwa kasi nzuri .

Fanya mazoezi bro , otherwise Juma mcheza mpira atakupigia mwanamke !!.

5/BAKIA KUA MTU POSTIVE .
Wakuu hakikisha huwi MTU Wa mawazo na HUNA mawazo wakati upo mapajani mwa mwanamke ,,Stress kills sex ,, nanaomba utambue Sex start in Mind ,, kwaiyo usiwe namawazo ,, Jiamin,, jiongoze ,, jione we ni great lover mzuri ,,, nakuhakikishia Mwili wako lazima utafuata mawazo yako tu kaka !!! Na mtoto utampa huduma matata KIASI kwamba kila akiwaza sex ,,anakuwazia kufanya sex Naww tuuu.

6// TABIA YA KIAFYA .
Wakuu kwa ubora mzuri kitandan nivema ukaachana na tabia ya uvutaji sigara ,, pombe ,, nakadhalika ,, kwa kua hivi nivitu vinavyoathiri Reproductive system moja kwa moja !!!!.

Namwisho ngoja niwape kitibabu kidogo.

KITUNGUUUUUUU KITUNGUUUUU KITUNGUUUUUUUU.

Wakuuu km suala LA kudidisha nitatizo ....Uume legelege ,, HUNA ham ya kurudia tendo ,,ukiwa nayo Uume unasimama km mlenda ,, Baada ya kufanya mambo hayo juu niloyataja ,,

Nunua vitunguu na Asali ,,weka kwako .... Chukua vitunguu viwili ,to a maganda ,, kisha toboa kitundu kidogo juu ya kichwa cha kitunguu na chini kwenye eneo LA mizizi ..viweke kwenye kibakuli ,,, mwagia asali katika kitundu cha kichwan mwa kitunguu hakikisha kila kitunguu kimewekwa asali ,,, kisha vifunike .....USIKU BAADA YA KULA CHAKULA CHA USIKU CHUKUA KIMOJA TAFUNA ,,ENDELEA NA RATIBA NA MWENZI WAKO ,,ASUBUHU TAFUNA KILICHOBAKI ,,NA ANDAA VYAUSIKU UNAOFUATA ,,FANYA IVYO KWA MWEZI NAHATA UKIONA KIKA SIKU NISAWA TU MAANA VITUNGUU VINATIBU NAMAGONJWA MENGI NAHAVINA ATHARI ....KWA KUFANYA IVYO UTAKUA UMEEPUKANA NA MATATIZO YOTE YATENDO LANDOA ..UWE UMEZALIWA HUSIMAMISHI !!!

naomba mkishafanya hayo ,, msisite kunipa FEEDBACK wakuuu !!!!
funika km ivi acha kuanzia asubuhi usiku tumia .
Nakuunga mkono kwa yote uliyoongea nmefanya hilo zoezi la kubana mkojo kila ninapo kojoa mara 3 au 4 kwa mda mrefu sasa nmeona matokeo mazur sasa iv nasimamia kucha hatari mpaka mwanamke anaomba poo yaani nawashaur wanaume wote msikojoe mkojo moja kwa moja mpakanamaliza bali muwe mnaubana na kuuchia na mtaona matokeo hata watoto na wadogo zetu tuwafundishe hili zoezi.
 
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
2,544
Points
2,000
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
2,544 2,000
Nakuunga mkono kwa yote uliyoongea nmefanya hilo zoezi la kubana mkojo kila ninapo kojoa mara 3 au 4 kwa mda mrefu sasa nmeona matokeo mazur sasa iv nasimamia kucha hatari mpaka mwanamke anaomba poo yaani nawashaur wanaume wote msikojoe mkojo moja kwa moja mpakanamaliza bali muwe mnaubana na kuuchia na mtaona matokeo hata watoto na wadogo zetu tuwafundishe hili zoezi.
Pia wanaume tuangalie vyakula tunavokula tusile kama wanawake mwisho wa ck ndo haya ya kuumbuka msisahau pilipili kwwny kila mlo mnaokula inasaidia sana kuondoa mafuta mabaya yaani cholesterol au heremu na kufanya damu iweze kuzunguka vizur mwilini
 
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
2,544
Points
2,000
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
2,544 2,000
Pia kitu kingine wanaume wengi tunajisahau ni kwenda kunawa baada ya tendo sio kujifuta na kitambaa au tishu haitoshi pia kukojoa baada ya tendo ni mhimu sana maana zile mbegu za kiume usipokojoa baada ya tendo zinaganda na kuziba njia yaan mrija wa kukojoa .
 
kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,876
Points
2,000
Age
38
kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,876 2,000
1. Matunda na Mboga Mboga.

Nyanya chungu, Bamia, Tango, tikiti maji, parachichi, vitunguu, pilipili, Tangawizi na karanga mbichi , mbegu za maboga, spinach

2. Maji safi ya kunywa kwa siku lita 3 au zaidi

3. Mazoezi.

Kegeli(90/siku), pumzi squats(120/siku), push ups(50-100/siku)kukimbia/baiskeli

4. Stress free. Stress nyingi ni Mambo ya fedha na Mahusiano.

Jitahidi uwe na kipato zaidi ya kimoja na kuwa na mwanamke mwenye tabia njema, mcha Mungu na anaejielewa na kujiheshimu. Mwanamke anayejielewa hana kiburi, anakuheshimu, anakuamini na kukusupport mipango yako na kukutia moyo unapokuwa na matatizo. Anaheshimu ndugu zako na wazazi wako.

5. Asali itumike mara kwa mara achana na sukari ikiwezekana.

6. Lala kwa wakati na pumzisha mwili
 
M

Mo-sheby

Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
13
Points
45
M

Mo-sheby

Member
Joined Nov 29, 2017
13 45
Duuuh. Utajiua je. Kwa 700 au 1500, ni kufa kizembe na wala now tusige mjadili wala kumjua Ila kwa ndegendio sawa. Hata Mimi nataka ni ibe ndege zile za magufuri Rena ile kubwa kuliko zote.
 
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
5,209
Points
2,000
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
5,209 2,000
Huwa napigaga kegeli kawaida pia natafuta zangu mbegu za maboga as usual

Kegeli kwangu ni zoezi lisipo epukika ni desturi yangu
 

Forum statistics

Threads 1,283,691
Members 493,764
Posts 30,797,331
Top