Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

Wakuu nimeamua kila mwezi kwenye mshahara wangu ni weke laki nne je nitaweza kujenga?
Uamuzi mzuri. Kiasi hicho kinatosha kabisa kutegemea na aina ya nyumba unayotaka kujenga. Hata hivyo nyumba ni nyumba. Jenga nasi #MbaoTanzania.
 
Laki nne nyingi Sanaa. Mimi mwaka 2012 nilikua naweka laki 2 kwa mwezi. Hadi 2017 nilikua nimebakisha finishing ndogo ndogo. 2018 nikachukua mkopo 15M 9M nikamaliza Kila kitu 6M Nikamvua mtu RAUM namba D Maisha yanasonga
Hongera sana Maniaje.
 
Ubao mmoja wenye dawa bei gani?
Tazama bei zetu:

IMG_20210926_173859.jpg
 
Wimbo wa Marioo unapotosha sana. Anasifia bia kuliko ujenzi?

Akitokea msanii akahamasisha umuhimu wa makazi, mbao bora na uwekezaji tunampa udhamini.
 
Kwani kujenga ni kwamba mtu kayapatia maisha Mimi nilifikiri ungezungumzia kufanya investment kwasababu investments ndio kila kitu kwenye maisha
Hata mimi nimeshangaa sana , National housing si ipo,, kisa cha kujenga halafu uwe unabangaiza maisha ni nini?, Muhimu ni ku invest,, nyumba unaweza nunua hata dubai,, provided mkwanja upo
 
Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.

Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.

Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.

Wikiendi njema!
Kujenga nyumba ni uoga wa maisha, unajibana unajenga alafu ukifa watoto wanaanza kugombana nakuuza nyumba wakuonga viben ten wanaonga, wakula starehe na mademu wanakula wewe tafuta pesa tumia
 
Kujenga nyumba ni uoga wa maisha, unajibana unajenga alafu ukifa watoto wanaanza kugombana nakuuza nyumba wakuonga viben ten wanaonga, wakula starehe na mademu wanakula wewe tafuta pesa tumia

Ushauri huu ni potofu. Moja ya sifa ya binadamu mwenye utashi unaokubalika ni kujikusanyia mali (wealth accumulation).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom