FANYA MWENYEWE: Jinsi ya kujua kama jiko lako la mionzi "microwave" linavuja au la

Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
13,055
10,337
Mionzi ni hatari kwa mwanadamu. Ni moja wapo ya chanzo cha saratani hivyo ni vema kujaribu majiko yetu kama yanavuja ili kuchukua hatua stahili mapema kabla ya madhara hayajawa makubwa.

Mahitaji:
Simu mbili za mkononi

Jinsi ya kufanya:
Chomoa jiko kutoka kwenye soketi ya umeme kisha weka simu moja ndani ya jiko na ufunge mlango.
Piga namba ya simu iloyomo ndani ya jiko....kama ikiita basi jiko halifai kwa matumizi kwani linavujisha mionzi...na Kama simu isipopatikana basi ni salama kwa matumizi....
Kirahisi hivyo...hauhitaji teknolojia ya MIRION wala fundi mionzi

Sent using Beretta ARX 160
 
Kama linavuja, mtu anaweza ziba kwa kutumia super glue?
 
Dah..bosi utajua linavuja wapi? Kama siku ukifunuliwa ukaweza kuiona mionzi kwa macho nitaomba uniPM

Sent using Beretta ARX 160
 
Aisee. Nitajaribu
Dah...jaribu Mzee...mionzi ni kitu hatari hasa pale inapokupiga mara kwa mara...watendaji wengi kwenye mahospitali hujifungia kwenye chumba cha zege zito mbali na mgonjwa kujikinga...okoa beki3 ....okoa familia

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah...
Mionzi ni mawimbi yenye upana usiozidi mita3........na radiation ni kile kitendo Cha mawimbi kutoa nishati

Sent using Beretta ARX 160
Swali la kwanza je napiga simu wakati iko on hiyo kifaa changu?

Pili je kama hiyo mionzi ya simu inapitia pale pale ambapo mionzi ya kuivishia chakula inapita tutatofautisha vipi?

Tatu,ikiwa tukiweka chakula tunalifunga na mionzi inaingia kuivisha chakula,vipi ishindikane tukiweka simu na tukalifunga alafu mionzi isipite?
 
Ndugu mwanzo kabisa niliandika CHOMOA KUTOKA KWENYE SOKETI YA UMEME ...hii Ni kuhahakisha kuwa hautaweza kuliwasha hata kwa bahati mbaya....
Pili... mionzi huwa inakuwepo ndani ya jiko...sehemu itakayovuja mionzi ya simu ndipo hapo happy patakapovuja mionzi ya jiko utakapokuwa unalitumia .....
Tatu...mionzi ya kuivishia inatengenezwa ndani ya jiko...ndiyo maana wanakulinda usipatwe na madhara kwa kufanya jiko lisiweze kufanya kazi hadi mlango ufungwe.....

Nimekupata mkuu.
 
Back
Top Bottom