Fanya Kazi na ujipatie kipato cha kushangaza ukiwa nyumbani

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Ukiwa ni mtandao maarufu zaidi nchini Ghana Profit Clicking ambayo ni Affiliate Program ambayo watu hujiunga bure kabisa na kama utaamua kweli unataka kubadilisha maisha yako kwa hii program unaweza timiza ndoto zako.

Sio kama nyingine ambazo ni spams au hype ambazo utaishia tu kutoa hela na unaambulia patupu. Hii ni legal online business.

Changamkia hii na uanze kuaona kwa nini Ghana wanaipenda hata kuliko hata GhanaGetPaid

Profit Clicking :: HOME
 
Mkuu naomba niulize ukisha jiunga na hiyo program kazi zipi hasa mtu unaweza zifanya? Pia jinsi gani unaweza jipatia pesa au kipato kwenye huo mtandao? Pls naomba ufafanuzi zaidi kujua.
 
pelekea familia yako kwan nyie hamtaki pesa
 
DSM imekuwa ngumu kimaishae ! ! Tanzania kuna mapori mazuri kwa ajili ya kilimo na hayajawahi kukanyagwa na binaadam tangu kuwepo na hii dunia ! nendeni huko mkapate mashamba na muachane na biashara za utapeli ! ! Ni maoni tu !
 
Samahani kidogo nimechelewa kujibu. Well, ulichotakiwa kufanya hapa ni kwenda moja kwa moja ukajiunge ni bure. Halafu baada ya hapo una kwenda kwenye Q&A session, hapo maswali yako yatajibiwa yote. Hii ni networking business. Kwa mfano mimi nikijiunga halafu nikimpata mtu mwingine akajiunga chini yangu mimi napata commission kidogo, commission hiyo kidogo kama ikizidishwa mara nyingi kutokana na mtandao wako hela inakuwa nyingi bila kutegemea, kuna level zake. Ni kama matrix inavyoweza kutanuka na kuwa na members wengi katika level zake. Hapa kinachotafutwa ni traffick kwa ajili ya kutangaza bidhaa fulani kwa mfano PayPal, Solid Trust na nyingine kibao ambazo ni za online. Kwa hiyo watu kama hawa ndo wanawalipa watu kama Profit Clicking ambao wana traffic kubwa kwa ajili ya kuzitangaza bidhaa zao, kwa kushiriki katika mzunguko huo ndo unapata commission kutokana na jitihada zako za kutangaza kutanua na kutangaza mtandao. Kwa hiyo kama mimi nina website yangu naitangaza ili nipate kipato (mfano. PennyMatrix.com) naitupia kwenye kwenye website yangu ya Profit Clicking :: HOME ambapo ninakuwa nina credit za matangazo kwa kununua ( unaweza pata credits 1000 kwa 5-10$) au kama nina hela kwenye account yangu ya Profit Clicking kutokana na commission ya mauzo inakuwa deducted humo. Kwa ninakuwa ninaperuzi website za watu na wao wanatangaza za kwangu ambazo nitakuwa nimeziweka kwa ajili hiyo. Unaweza kuweka hata website 10 ili mradi uwe na credits. Sijui kama utakuwa umepata picha. Najua huwezi elewa Online Business kwa haraka, inakuhitaji utumie mda kujifunza vitu na terminologies zinazotumika. Ukiiva mafanikio yapo nje nje. Najua soko la ndani ni gumu kwa sababu watu hawajui biashara hizi lakini tunaweza kufanikiwa kama tutaweka jitihada madhubuti na mtu yoyote anaweza kujiunga chini yako popote pale duniani. Kwa Mfano Ghana hii Profit Clicking nji maarufu sana.
 
Haina haja ya kuileta bongo. Ipo accessible kwa kila mtu duniani na zipo nyingi. Kazi huwa ipo kwa kuipata iliyo sahihi. Inatakiwa uwe mzoefu kidogo kujua kama ni sahihi au scam. Sisi tumechelewa lakini wenzetu Ghana, Kenya, South, Nigeria wanafanya hizi na nyingine kibao Kama online Data Entry, Proof Reading,Graphic na nyingine kibao. Hamna kitu kama utapeli hapa. Kila kitu kipo wazi na kujiunga ni bure. Baada ya hapo ndipo utasoma details zote na kujua kama unahitaji kuendelea ama la, Unajua bongo watu hatupendani , hata kama mtu ana idea nzuri watu huwa wanaponda bila hata kufanya research ya kutosha. Kila mtu anajifanya mjuaji, huwezi kujua vyote lazima tukubaliane, kwa sababu wakati wewe unajifunza kitu flani mimi najifunza kitu kingine. Huwezi jua kitu kipya bila kujifunza au kusikia kwa mtu flani. Inabidi tubadilike tuweze ku cope na pace ya mabadiliko !
 
hiyo system ya kujipatia kipato ukiwa home wangeileta bongo labda itapunguza tatizo la ajira.

Haina haja ya kuileta bongo. Ipo accessible kwa kila mtu duniani na zipo nyingi. Kazi huwa ipo kwa kuipata iliyo sahihi. Inatakiwa uwe mzoefu kidogo kujua kama ni sahihi au scam. Sisi tumechelewa lakini wenzetu Ghana, Kenya, South, Nigeria wanafanya hizi na nyingine kibao Kama online Data Entry, Proof Reading,Graphic na nyingine kibao. Hamna kitu kama utapeli hapa. Kila kitu kipo wazi na kujiunga ni bure. Baada ya hapo ndipo utasoma details zote na kujua kama unahitaji kuendelea ama la, Unajua bongo watu hatupendani , hata kama mtu ana idea nzuri watu huwa wanaponda bila hata kufanya research ya kutosha. Kila mtu anajifanya mjuaji, huwezi kujua vyote lazima tukubaliane, kwa sababu wakati wewe unajifunza kitu flani mimi najifunza kitu kingine. Huwezi jua kitu kipya bila kujifunza au kusikia kwa mtu flani. Inabidi tubadilike tuweze ku cope na pace ya mabadiliko !
 
Ukiwa ni mtandao maarufu zaidi nchini Ghana Profit Clicking ambayo ni Affiliate Program ambayo watu hujiunga bure kabisa na kama utaamua kweli unataka kubadilisha maisha yako kwa hii program unaweza timiza ndoto zako.

Sio kama nyingine ambazo ni spams au hype ambazo utaishia tu kutoa hela na unaambulia patupu. Hii ni legal online business.

Changamkia hii na uanze kuaona kwa nini Ghana wanaipenda hata kuliko hata GhanaGetPaid

Profit Clicking :: HOME

aiseeeee.... this wont work...
sini bora nikupe u-admin wa facebook page yangu angalau niwe nakupa tuhela twakula, kuliko hivi vyako???????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom