Fanya kama kawaida yetu!!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
Sirikali ya wendawazimu!!
masoudkipanya_BxbvQZLgnSY.jpeg
 
Huyu Kipanya ana balaa.....mbona anarusha jiwe kwenye utosi
 
Ya kununua ndege bila bunge kupitisha budget, kununua ndege bila mikataba, kununua ndege bila kukaguliwa na kununua ndege bila kufuata procurement act!
Hatuna muda wa blah blah...tunaamua tu tunataka Dreamliner tunaenda Boeing tunachukua cash....tunataka Bombardier tunaenda Canada tunachukua cash!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom