Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,180
- 39,947
Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:
Sasa tushirikishe kwa upande wako; fani yako inatatua kero ipi kwa jamii?, au unapokea tu mshahara na posho bila kutatua kero yoyote?
- Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu.
- Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi.
- Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo wake.
- n.k
Sasa tushirikishe kwa upande wako; fani yako inatatua kero ipi kwa jamii?, au unapokea tu mshahara na posho bila kutatua kero yoyote?