Fani ya business admnstaration iko vipi katika soko la ajira??

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
ebana naombeni mnisaidie kuhusu fani ya business admnistration soko lake la ajira liko vipiiiii ??????

na wale mliosomea business admnstration napenda mnipe ufafanuzi kuhusu hii fanii michongo yake, iko vipi na ikojeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom