Fangasi ya ubongo inasababishwa na nini?

Well kuna dawa nyingine inayotumika inayoitwa Amphotericin B Hii ndio nzuri zaidi na kwa baadhi ya infections inatumika na flucytosine.
Yeah in Acute CM , IV Amph+ IV Flucy kwa 14 days , lkn LAZIMA ifuate Fluco kwa ( induction na Maintan) .

Sema kwa kuzingatia Costs na Availability , Kuanzisha moja kwa moja IV Fluco Ni Faida zaidi.
 
Exposure inaweza kumfanya mtu apate infection husika.
Oral thrush au aina yoyote ile ya fungal yeast infection husababishwa na aina ya fungus ambao wanaishi mdomoni (Candida albicans) hawa wakizidi ndio mtu hupata infection .
Wanaweza vipi kuzidi (Over growth)?

Matumizi yasio sahihi ya antibiotics ambayo hupunguza uwiano wa bacteria na fungus.

Kushuka kwa kinga ya mwili kutokana na magonjwa au matibabu.

Lakini pia oral sex hapa hutokea displacement ya fungus mwanaume huweza kutoa wa mdomoni na kumpatia mwanamke kwenye uke wakati mwanamke atampatia mwanaume wale wa ukeni kwenda mdomoni so technically huwa inakuwa hivi .
Mkuu hapa umenipa elimu muhimu sana nilikuwa sijui kama tuna fangasi mdomoni tunaishi nao ila wakizidi ndio shinda,asante
 
Kuna baadhi ya studies ukiachana na watu wenye upungufu wa kinga (immunosuppressed clients) ambao ni wenye cancer, HIV, Diabetes na wengine..... Zinaonyesha pia matumizi makubwa ya Broad spectrum antibiotics endapo zikatumika sana kwa muhusika zinaweza kupelekea kuondoa au kuua jamii fulani ya bacteria ambao wanahusika zaidi katika kulinda maeneo mbali mbali ya mwili (Normal Flora) hivyo kupelekea ukuaji wa yeast ambao ni fungus .....

Na Fluconazole kama ilivyo kwa dawa za fungus (antifungal drugs) zinasaidia katika kupunguza au kuondoa kabisa tatizo ila zikichagizwa zaidi na kupanda kwa kinga ya mtu au muhusika.....
 
Pole sana mkuu, huyu naye ni Mungu tu maana alikuwa hajui kama anao au alipuuzia kutumia dawa tumehangaika sana mpk sasa amerecover vizuri
sijui kwanini wagonjwa wa ukimwi wanauchukulia powa sana, kuna jamaa pia alikuwa nao, bahati mbaya akaugua ugonjwa mwingine uliom tight sana akalazwa
sasa wakati wote amelazwa hakusema kwamba ana ukimwi matokeo yake hakuwa anakunywa dawa kama miezi hivi, kaja kusema mwishoni hali imekuwa mbaya akakata moto
 
Kuna baadhi ya studies ukiachana na watu wenye upungufu wa kinga (immunosuppressed clients) ambao ni wenye cancer, HIV, Diabetes na wengine..... Zinaonyesha pia matumizi makubwa ya Broad spectrum antibiotics endapo zikatumika sana kwa muhusika zinaweza kupelekea kuondoa au kuua jamii fulani ya bacteria ambao wanahusika zaidi katika kulinda maeneo mbali mbali ya mwili (Normal Flora) hivyo kupelekea ukuaji wa yeast ambao ni fungus .....

Na Fluconazole kama ilivyo kwa dawa za fungus (antifungal drugs) zinasaidia katika kupunguza au kuondoa kabisa tatizo ila zikichagizwa zaidi na kupanda kwa kinga ya mtu au muhusika.....
Asante
 
Back
Top Bottom