"Fanani siku nikifa njooni wote" haya maneno yalikuwa kwenye Wimbo gani?

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Habari wakuu

Kuna bongo fleva ya kitambo kidogo ilikua na maneno yasemayo
Fanani siku nikifa njooni wote,mnaonipenda msionipenda njooni wote×2

Mwenye anaeweza kuwa na hiyo nyimbo aipandishe Tafadhali tushaisaka sana kilingeni kwetu bila mafanikio
 
Mi kuna ka wimbo ka vijana wa bongo fleva, kana maneno flan kama "unaenda unaenda kama konda wa kariakoo..., nashindwa kuelewa kanaitwaje nataka "nikadanlodi" ila uzee ndo hivyo sikafahamu kwa jina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom