Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...
Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!
Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)
2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!
my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...
(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwa)