Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...

Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!

Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)

2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!

my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...

(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwa:D)
 
Ngoja nitafakari nilipokutana na mama matesha wangu.
Will be back soon!
 
mmmh, mara hii tu!
 
Hujatuambia ya kwako ni ipi? ili tuone kama unaelea kwenye 60% au upo kwenye 90%LOL

By the way hebu tuwekee official abstract ya huo utafiti hapa tupate walau picha..:D
 
Hapo sasa naanza kukuelewa!
Naendelea na tafakuri!
Will be back soon!

Alrite mkuu

unajua amesahau lile neno la KUDUMISHA mila

Angesema tu kuwa zamani wazee walikuwa wanadumisha mila ZUMA style na ndoa bado zinakuwa zinadumu! lol

Ijumaa hii...
 
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...

Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!

Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)

2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!

my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...

(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwa:D)

Jamani Geof si umeoa juzi?tayari mara hii unaanza kuona yanayoanza kutokea kwenye ndoa yako?
Please nakusihi mpendwa wangu kama ulishafanya kosa naomba usijutie kabisa kwa kuaanza kuangalia ni ndooa gani nzuri kati ya hizo na kukuta wengi wanatoa koment ambazo huenda zikaanza kuharibu maamuzi yako.

Marriage is the strategic Decisions onces some made this decision ni finital na impact yake itakuathiri maisha yake yote.

Nilitegemea maada hii ianzishwe na mtu ambaye hajaoa si kwako wewe.

Samahani lakini ni maoni yangu tu
 
tujadili sredi jamani!naona mko interestedi na hanemuni:D
 
Jamani Geof si umeoa juzi?tayari mara hii unaanza kuona yanayoanza kutokea kwenye ndoa yako?
Please nakusihi mpendwa wangu kama ulishafanya kosa naomba usijutie kabisa kwa kuaanza kuangalia ni ndooa gani nzuri kati ya hizo na kukuta wengi wanatoa koment ambazo huenda zikaanza kuharibu maamuzi yako.

Marriage is the strategic Decisions onces some made this decision ni finital na impact yake itakuathiri maisha yake yote.

Nilitegemea maada hii ianzishwe na mtu ambaye hajaoa si kwako wewe.

Samahani lakini ni maoni yangu tu
wewe nadhani hujanielewa kabisa ndugu yangu CHAKU!...naomba ukaisome sredi upya tena mwanzo mpaka mwisho then uje uchangie
 
Ok Bwana harusi. Mi bado nadhani hizi ndoa unazoziita za kiwestern ndo zinafaa kwa sababu unachagua mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yoyote kuoa/kuolewa. lakini ile ya kupangiana mume/mke haijatulia na hata kama zinadumu ni kwa kuwa watu wanaogopa tu jamii itasemaje tukiachana, wazazi walishachukua mahari itakuwaje, and so on, lakini zina matatizo mengi tu sema level ya uvumilivu ndo inayoziweka zidumu na si kwa sababu ingine ila kuigopa jamii itasemaje.
 
Hujatuambia ya kwako ni ipi? ili tuone kama unaelewa kwenye 60% au upo kwenye 90%LOL

By the way hebu tuwekee official abstract ya huo utafiti hapa tupate walau picha..:D
ya kwangu ni LOVE MARRIAGE...!

-wewe ni mtu wa kunipinga tu!baadae utasema ''ndoa yako ni changa mno kuyajadili haya'' i know you bana:D
 
Back
Top Bottom