NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
1.Sisi LAMI na MIPINGO haiwezekani fikiri mume na mke hufichana mapato yao sembuse mradi wa familia? Mtavurugana na undugu ufe kabisaaaaaa! Labda Kama mlilelewa ktk ushirikiano wa Hali ya juu.
2.Watu weupe, WAHINDI NA WAARABU hulelewa hivyo pia hata wanapo wapeleka watoto wao shule na kisha chuo huwa wame waaandaa kuja kuwa fulani katika hiyo miradi au mkampuni ya FAMILIA ZAO.
3.MPINGO unampeleka mwanao shule HUJUI asomee nini na amalizapo HUJUI Nini atakacho kuja fanya!!!!