Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,312
- 105,142
Yeye ndo kwanza anazipendaThis is personal attack , hivi dada wa watu anajisikiaje kwa shutuma zenu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bad news... watakuwa wanaunga mkono juhudi za nani?
Hakuna niliposema kwamba wewe umesema unashangazwa na hilo jambo bali nimesema umeshangazwa na hilo jambo.
Umejuaje kama nimeshangazwa na si tofauti na fikra zako tu?Hakuna niliposema kwamba wewe umesema unashangazwa na hilo jambo bali nimesema umeshangazwa na hilo jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 992399
Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.