Familia ya Zakia Meghji yampigania Facebook

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni, Mama Meghji hakuhusika direct na EPA, kosa la huyu mama ni moja tuu, alidanganywa na kuidhinisha zile Bilioni 40 za Kagoda. Aliyemdanganya Mama Meghji ni Balali (RIP), baada ya kumuandikia dokezo kuwa fedha hizo zinahitajika haraka kwa kazi maalum ya Usalama wa Taifa, akaambiwa Ben alisharidhia na Mama Meghji akakross check na Boss wa TISS by then, Mzee akamthibitishia ni kweli fedha hizo zinahitajika kwa kazi maalum ya dharura. Mama had no way out akaidhinisha!.

Alitakiwa atilie mashaka transaction hiyo, kwani TISS wanapotaka fedha zozote, wanazonjia zao ambazo hutumia, kwa nini mama hakushtuka?. Kwa vile alifanya due diligence ya kuuliza ikulu akaambia ndio, akauliza TISS akaambiawa ndio, akajiridhisha bila kuwa na mashaka yoyote, fedha ikachotwa na ni kweli TISS ilihusika, Ikulu ilihusika na Ben personally alihusika, no wonder, Kagoda, will never be investigated more!.

Sakata la EPA lilipotinga bungeni, Mama Meghji alikiri kuwa alitanganywa, and that costed her uwaziri wake. JK alimdrop mama Meghji sio kutokana na kuhusika na EPA, au kutokana na makosa yake, bali ili lile tope la EPA lililomchafua Meghji, lisimchafue JK, na sasa ndio maana amemteua tena.
 
Waziri Hawezi kudanganywa kwa Maslahi ya CCM, Mama alijua ukweli kuwa hizo fedha zinaenda wapi period
 
Hawa watoto wakati mama yao anafanya ufisadi walikuwa wadogo sana, sijui kama wamesoma mitaala ya Kitanzania au ni ile ya ng'ambo

Naomba niwakumbushe

Wakati nafanya mtihani wa darasa la nne kuingia la tano miaka hiyo kulikuwa na swali lifuatalo

1. Waziri wa mali asili na utalii ni .....................................................
 
· Nyangu Meghji
I shouldn't drop myself to your level guys but this is below the belt. How did my Mother participate in EPA theft? Is it calculated propaganda to tarnish her name, jealousy, stupidity, hate or something else?

Wewe NYANGU sijui NYANGUMI mama yako ni FISADI full stop. Watanzania hatumpendi MAMA YAKO FULL STOP. ANABEBWA NA MABWANA ZAKE FULL STOP. ukipata huu ujumbe mweleze kabisaaaaaaaaaaa
 
Kwa maoni yangu kumhusisha Megji na EPA ni kumuonea, ushahidi wote unaonyesha hakuwa na habari zozote juu ya sakata hilo wakati anaweka sahihi katika barua ambayo baadaye alikuja kuikana. Zaidi ya hapo, kuna ushahidi kwamba hapo mwanzoni alionyesha kustushwa na wizi huo; kwa mfano, nakumbuka kabla wizi huo haujajulikana kwa wengi niliwahi kuona mahojiano yake katika gazeti la EastAfrican ambapo alielezea kustushwa kwake na wizi huo. Hata hivyo kadri siku zilivyopita msimamo wake juu ya suala hilo uliyumba pengine kutokana na shindikizo. Kutomhusisha Megji na wizi wa EPA siyo sawa na kusema mama huyo ni mtu safi, kwani niliwahi kusikia madudu yake katika Wizara ya Maliasili na Utalii.

Haonewi mtu ndugu yangu. Hebu fikiria waziri mzima wa hazina anatamka hadharani kwamba 'alidanganywa'! Hivi inaingia kwenye huo unaouita ubongo wako? tuwe wakweli jamani, huyu mama ni failure na anahusika ama aliijua hiyo issue hatakama by then hakuwepo. madudu ya maliasili ndiyo usiseme kabisa, maana magogo yale, nyara kibao, na mitandao mingi akishirikiana na yule kigogo mwingine wa ikulu ambaye nasikia anastaafu mwaka huu, pamoja na akina 'omar mulla' na waburushi wengine kibao. angerejea angeendeleza mtandao huo haramu na kwa hakika miaka mitano ni mingi sana kuweza kukomba rasilimali za watanganyika. kama ni ukwe usubiri kidogo, tuangalie maslahi ya taifa kwanza. lol
 
Nyangu hawezi kujadili ishu ni kilaza flani alimaliza o level mawenzi mama yake akiwa rc akamwezesha kupata mitihani akascore 1.6 akaenda special school ilboro akazungusha so hana cha kutuambia
 
hao watoto wanafaidi matunda ya ufisadi wa mama yao na Jeykey, ndio maana wanang'ang'ania kumtetea ili aendelee kula jasho la waTz.
 
Its obvious! Hata mbwa huwa hang'ati mkono umlishao.. Lakini ukweli utabaki palepale.. Huyo mama ni FISADI!!
 
Hizi pesa za EPA zilizochotwa kupitia Kagoda, inasadikika zilisaidia kwenye kampeni za CCM. Huyu mama wakati huo alikuwa kama sikosei alikuwa na jukumu la kutafuta pesa kwa ajili ya Kampeni. Kama kweli pesa za Kagoda zilikisaidia Chama Cha Mapinduzi na yeye akiwa kwenye nafasi hiyo, kwa nini asihusishwe na Scandal ya EPA?
 
Nyangu hawezi kujadili ishu ni kilaza flani alimaliza o level mawenzi mama yake akiwa rc akamwezesha kupata mitihani akascore 1.6 akaenda special school ilboro akazungusha so hana cha kutuambia

I know Nyangu very well. Hajazungusha na ni kichwa, jaribu kudanganya kingine...
 
zakia meghji hana tofauti na vick kamata au rita mlaki incompetent women kila siku anapewa ulaji na ccm anafikiri wananchi wanampenda inawezekana hakupewa fungu la EPA but she has been hangin out with bandits for years am sure she likes them.I feel sorry for her kids I have a mom too but facts are facts she is bad news in the ears of wapiganaji.Watanzania tutamlipa milioni 10 kwa mwezi kwa miaka mitano what a waste of resources

Wacha fitna na majungu unaona choyo kwamba wanawake wanapewa vyeo au nini????
 
Nyangu hawezi kujadili ishu ni kilaza flani alimaliza o level mawenzi mama yake akiwa rc akamwezesha kupata mitihani akascore 1.6 akaenda special school ilboro akazungusha so hana cha kutuambia

Na hii ni kutoka kwa insurgent....
I know Nyangu very well. Hajazungusha na ni kichwa, jaribu kudanganya kingine...

Inaonyesha dhahiri kwamba huyo anaejiita Superfisadi ni muongo fulani anaetaka kumpakazia mtoto wa Mama Meghji kwa sababu ya chuki zake binafsi na roho mbaya.

Tahadhari wewe Mungu atakuadhirisha wewe mnafiki!
 
niombe radhi kwa kunibishia huku hautoi data, aseme kama akazungusha aliscore division zero , I know Nyangu from kibo primary mpk alivyoamua kuoa mama kubwa zenji
 
niombe radhi kwa kunibishia huku hautoi data, aseme kama akazungusha aliscore division zero , I know Nyangu from kibo primary mpk alivyoamua kuoa mama kubwa zenji

Data za kweli: I know Nyangu very well, hajawahi kuscore Div 0, acha data za uzushi. Sishangai wewe kutoa data za uongo after all you are "Superfisadi" kwi kwi kwi...

Tuweke dau kwenye hili, kwani NECTA mbali?
 
Waziri Hawezi kudanganywa kwa Maslahi ya CCM, Mama alijua ukweli kuwa hizo fedha zinaenda wapi period

Kukuonyesha kuwa alijua, angalia nafasi aliyopewa katika kampeni za Kikwete 2010!! Alijua sema kujitetea ilibidi aseme hivyo @ Pasco hivi honestly unadhani hakujua, au ulitaka asemeje?
 
poa tuweke japo najua ww utaenda kuchukua kwa Nyangu kwani unajua alizungusha

Sina haja ya kwenda kwa Nyangu. Namfahamu vizuri na matokeo yake yote.

I like this one:

Haters are always jobless n' brainless. They waste seconds, minutes, hours, days just to lie about you...
 
Nyangu hawezi kujadili ishu ni kilaza flani alimaliza o level mawenzi mama yake akiwa rc akamwezesha kupata mitihani akascore 1.6 akaenda special school ilboro akazungusha so hana cha kutuambia

Superfisadi, unachosema kuhusu Nyangu si cha kweli.

Kwanza, hakuja Ilboru kwenye special school intake. Aliingia Ilboru 1991 wakati special school intake ilianza na batch ya 1992. High school ya 1991 to 1993 ilikuwa ya wanafunzi wa kawaida. Check your records. Nami nilisoma Ilboru wakati huo.

Pia Nyangu alikuwa kati ya wanafunzi wenye uwezo mzuri kimasomo, ukianzia Amani, Nyaga, na kufuatiwa na Nyangu. Kuvuja kwa mitihani lilikuwa tatizo kubwa wakati huo, hasa maeneo ya Dar na ni vigumu kuamini kuwa RC angeweza kuvujisha mitihani kuwa ajili ya mwanaye. Your story does not add up. Mtihani ukivuja na mtoto wa raisi aupate utasema raisi amevujisha mtihani ili mtoto wake afaulu?

Nawasilisha.
 
Big up udasa. Huyu jamaa ni hater tu kwani akaulize walimu waliomfundisha Nyangu hasa kule Mawenzi Sec. Uwezo wake uko wazi.
 
Back
Top Bottom