Familia ya Tundu Lissu yamrushia lawama rais Magufuli kuhusu upelelezi na Matibabu ya ndugu yao

Kwa kumbukumbu za haraka haraka aliondolewa risas chache lakin zingine zilibaki mwilini. Walicho fanya ni just kudhibiti baadhi ya majeraha tu.

Hawakuomba makusudi.. hilo ndilo linalosimama. Wangeomba wasingelalamika leo.. waombe msamaha waendelee na mipango waliyojiwekea tangu mwanzo. Lingine kama sheria ya bunge ipo kuomba baada aombe na kuomba msamaha kwa waliowasingizia.
 
Ni upofu tu wa fikra na utashi!!!!! Ni haibu kutetea udhalimu uwe umetendwa na serikali au yeyote! Iwe serikali halali au dhalimu!!!! Tunapandikiza mbegu mbaya!!! Ruhusu friction za mawazo tofauti !!!!
 
Kwa nini hawakufata yanayotakiwa mwanzo..

Lilivyo gazeti wameomba msamaha kwa kumsingizia kutaka kumuua huyo ndugu yao.. na kufurahia chama chake kubwabwaja mambo ya ajabu juu ya huu utawala?

Wajitafakali sio kwamba wameona wamekimbiwa na wanaochochea maovu nchini na kuanza kulia lia.

Waombe msamaha kwa mchi nzima tena Lissu mwenyewe and co
Come again please....
 
Watanyoosha tu maelezo, ujuaji juaji huku mnamgonjwa wapi na wapi? Mara matusi , mara kutishia viongozi , yote yatawatoka mpaka mjue kunyenyekea ni sehemu ya ustaarabu.
Hivi unanyenyekea haki yako au unadai haki yako?
 
Hakuna mtu anayependa kutuhumiwa. Binafsi nilipata kutuhumiwa kwa wizi wa kuvunja ofisi. Tuhuma nilizipata kutoka kwa wakubwa wangu wa kazi ingawa shauri lilipelekwa kwenye vyombo husika bila kufunguliwa mashataka wala kuhojiwa na vyombo hivyo. Badala yake niliitwa tu ofisini na kuambiwa kuwa uhalifu ule ulikuwa "inside-job" na kutajiwa majina ya wasaidizi wangu wanaohisiwa kuhusika. Kufuatia hizo tuhuma wakati hakuna upelelezi wowote wa maana uliokuwa ukiendlea tuliamua kufanya upelelezi wetu wenyewe. Taarifa zote muhimu tulizopata tuliwasilisha kwa wakubwa wetu ili wao ndio wachukue jukumu la kuvielekeza vyombo kufanya kazi. Hata hivyo haikusaidia sana. Wakubwa wetu baadaye walifika mahali wakatushauri kuendeleza upelelezi wetu wenyewe mpaka mwaisho. Tuliweza kuwatambua watuhumiwa kwa majina, makazi yao na katika hatua za mwisho kushirikisha vyombo kwenda kukamata mali iliyoibwa. Tulifanya hivyo kujisafisha. Sijui kwanini serikali yetu haitaki kujisafisha.
 
Hapa ndipo unapokosea ndugu. Kuna mtu ana mahaba ya kupoteza uhai?
Halaf usinijumuishe kwenye kundi la chama chochote maana siko interested na politics.

Just naongea kama mtanzania. Yes kulikuwa kuna taratibu, zifuatwe yes..
Lakin muda ulikuwa unaenda na afya yake ilikuwa critical to the brink of death.
Plus consideration of security because his life was at threat... mlishawahi kuconsider hivyo vitu?

My real question is was taratibu zilikuwa na umuhim kuliko uhai?
Uhai kivipi?? Kwani aliambiwa ugonjwa wake umeshindikana tz?? Kama waliweka ulinzi kenya kiliwashinda nini kuweka ulinzi muhimbili..ok hawakuiamini mnh lakini ipo agakhan, TMJ, hindu mandal na nyinginezo..wangempeleka mbona..hayo mengine yanabaki kuwa hisia tu na mbwembwe..maana walisema ooh tumpeleke ujerumani mara marekani..maneno kibao
 
Wanaotaka Lissu asilipwe, tembeleeni Mahospitalini, mtajua kuna watu wanatakiwa kupatiwa matibabu bila kufuata utaratibu ili kujaribu kuyaokoa maisha yao. Ila kwakua hatupendani, ni rahisi kutakiana Vifo bila Sababu.
 
Kumbe hata hujui wanaolipia matibabu yake..anauguzwa ureno ila matibabu inalipia ujerumani..sasa jiulize kwa akili zako..ujerumani inalipia matibabu watu duniani toka lini??
Hebu ficha UPUMBA.vu wako, chutama watu wasikuone ulivyo bogus! Lissu hatibiwi na nchi yoyote, anatibiwa nchini Ubelgiji na sio Ureno, alikata Bima mara tu baada ya kufika Belgium, hayo ndiyo matibabu ya Lissu kwa ufupi na sii jinsi mnavyodanganyana hapo Lumumba!
 
Basi kama ni hivyo waende mahakama ya kazi wakaoneshe hiyo mikataba yao ya kazi.

Kama ni sheria za nchi, watu wote wako sawa na wana haki za kutibiwa ndani na nje ya nchi kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa kisheria.
Sheria inayosimamia Matibabu ya Wabunge haitoi usawa Kama unavyotaka, Ni sheria hiyo ndiyo inayotamka kuwa Mbunge anapougua atahudumiwa yeye na msaidizi wake. Kungekuwa na Usawa Ndugai angetibiwa Muhimbili nae. Huo Usawa mbele ya Sheria unaoudhani HAUPO, otherwise Waalimu wasingekuwa wanalipwa Tshs. 300,000/ kwa Mwezi ilihali Mbunge analipwa Tshs.300,000/ Kama posho ya kikao!
 
Utaratibu ulikuwa akimbizwe MNH. Ndege kubwa ya serikali ilikuwa uwanjani Dodoma, kufanya kazi hiyo mara pale madaktari wa hospitali ya rufaa ya Dodoma watakaporuhusu. Hospitali ya MNH imesheheni madaktari bingwa waliobobea na maprofessa wa fani zote za tiba. Inajumulisha MOI na MUHAS. Huwezi hata kidogo ukailinganisha na hiyo hospitali binafsi ya Nairobi inayotumia madaktari wa kukodi kutoka Kenyata hospital na kwingineko. More over MNH iko karibu na Dodoma ukilinganisha na umbali wa kwenda Nairobi. Alikuwa awasili MNH saa 2 usiku. Chadema wakapinga, wakapoteza muda. Wakaagiza kandege kadogo ka Flying Doctor Services kutoka Kenya. Akafika Nairobi saa saba usiku akiwa hoi.
Hao waliobobea Ni wale waliompasua Kichwa Mgonjwa wa Goti na kumpasua Goti aliepaswa kupasuliwa Kichwa? Kulikuwa na Uhakika gani hao " wasiojulikana" hawapo huko Muhimbili? Nakuombea kwa Mungu akupe mtihani angalau mdogo tu of the similar situation labda hutaongea upuuzi!
 
Hivi kutoka dodoma hadi dar na kutoka dar hadi nairobi wapi mbali?? Mbona hakufia hewani..?? Babu pesa za uma zina taratibu zake..hazitumiki kwa mahaba..hao wanaoenda india wanapitia taratibu na serikali ina mkataba na hospital ya appolo tu..nje ya hapo jihudumie mwenyewe..hata hivyo mlisema mtachanga..vipi mliishia wapi au ilikuwa mihemko tu??

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Hiyo Serikali yenye Mkataba apolo peke Yake Ni tofauti na ile iliyomlipia jamaa Fulani Matibabu ya tezi dume kule Marekani?
 
Back
Top Bottom