Familia ya Tundu Lissu yamrushia lawama rais Magufuli kuhusu upelelezi na Matibabu ya ndugu yao

sheria inasema mbunge akiumwa atahusumiwa na bunge yeye na msaidizi wake.
Na wananchi ambao si wabunge, sheria inasemaje kuhusu tiba zao ndani na nje ya nchi? Are the wabunge more equal than other citzens of this country?
 
Mara mseme nchi inakopa haina pesa..sasa kama mnajua nchi haina ya nini kulipia matibabu ujerumani..si bora hizo pesa wapewe maskini kama anavyofanya magu wajenge hata vibanda vya kuishi
Kwa sababu hiyo watu hawatibiwi?

Vv
 
..waziri mkuu mazungumzo ya masaa 2.

..Spika mazungumzo ya masaa 4.

..Mwanasheria Mkuu mazungumzo ya masaa 4.

..wote hao wameshindwa kumsaidia mbunge mwenzao?

..Tumefikia hatua mbaya sana ya UKATILI.
Kwakuwa walikuwa wamejiandaa wazike,sasa wamechanganyikiwa,plan B hawajaiandaa
 
af
Heshima kwenu wakuu,

Msemaji wa familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, mnadhimu wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni na aliyekuwa Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika Mheshimiwa Tundu Lissu, wakili Alute Mughwai, amelalamikia Serikali ya rais Magufuli kutoonesha dhamira ya kumtibu ndugu yao. Ameyasema hayo wakati akitoa mrejesho wa maendeleo ya afya yaTundu Lissu kwa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS).

"Serikali haina dhamira ya kupeleleza watu waliompiga risasi Lissu". Amesikika Alute akisema.

Msemaji huyo wa Familia amesema, familia imeshaonana na kuongea na Waziri mkuu kwa masaa mawili, Familia ilikaa na kufanya mazungumzo na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa masaa mawili, Familia ilikaa na kufanya mazungumzo na Spika wa bunge kwa masaa manne lakini wote hawatoi jibu linaloeleweka. Spika alisema kwamba hahudumiwi sababu hakufuata taratibu za kwenda kutibiwa Kenya.

Familia inaitaka Serikali iruhusu Wapeleleze na wachunguzi kutoka nje ya nchi ambao walikubali kufanya uchunguzi tena bure, waje wafanye uchunguzi wa watu walimpiga risasi ndugu yao ukweli ujulikane.

Ombi lao la pili wanataka bunge litoe posho na matibabu kwa ndugu yao kwani hilo swala lipo kisheria. Wabunge wengine wakiwa wanaumwa wanahudumiwa na bunge mgonjwa na msaidizi wake. Ikiwemo sitahiki zake kama mshahara na marupurupu mengine, lakini bunge lilikataa wala halitaki kujua mgonjwa ambaye ni mbunge mwenao anaendeleaje.

Amesema Lissu anaendelea Vizuri na akifika atataka haki yake na familia tutamuunga mkono.

Kasema sasa Lissu anaendelea vizuri na anatia moyo, ila kuhusu swala la kurudi haijulikani atarudi lini.

Amesema kwa sasa wanaongea na Washauri wa familia nini cha kufanya, lakini chaguo lao la kwanza ni kudai haki yao mahakamani. Hakuna sheria ilipoandikwa kwamba mtu akiumwa aombe ruhusa kwa rais ya kutibiwa bali sheria inasema mbunge akiumwa atahusumiwa na bunge yeye na msaidizi wake.

Baadhi ya Mawakili wamesema hiyo ipo wazi. Mtu aliyekataza na kutoa amri Tundu Lissu na Maalim Seif wasitibiwe watakapoumwa anafahamika.

Wakili ambaye jina lake halikufahamika mara moja alisema hili swala TLS watahakikisha wanapata haki ya Wakili mwenzao. Amesema Wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, hawajawahi kuogopa na hawataogopa vitisho.

Familia imewaomba Mawakili wote wa TLS wawaunge mkono pindi watakapoenda Mahakamani.

Hivi karibuni Serikali iliilaumu CHADEMA kwamba ndio inayochelewesha uchunguzi.

Ilisema mara nyingi wamekuwa wakitaka ushirikiano kutoka CHADEMA bila mafanikio

Yadaiwa CHADEMA wamekuwa wakimficha dereva wa Lissu

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yussuf Massauni aliyasema hayo Bungeni wakati akijibu swali la Saed Kubenea(Mb) aliyehoji ni lini Serikali itakamilisha uchunguzi wa matukio ya uhalifu yanayofanana na ugaidi likiwemo la Tundu Lissu

Familia ya Lissu itimize wajibu wake kabla ya kulaumu wengine. Wamrejeshe DEREVA kwanza halafu lawama ziendelee.

Ugua pole Lissu. Iko siku utajua kinachokumaliza wala hakiko mbali.
 
Na wananchi ambao si wabunge, sheria inasemaje kuhusu tiba zao ndani na nje ya nchi? Are the wabunge more equal than other citzens of this country?
Hilo jambo siyo suala la wabunge kuwa more equal than other citizens. .

Bali kuna mkataba wa Kazi ambao waheshimiwa wabunge wamesaini ambao umekuwa binding kwa pande zote 2
 
Nchi hii ilivyo ya ajabu, kesho utamuona Cyprian Musiba ndio anakuja kujibu hoja hizi makini za familia kwa majibu ya kipuuzi kama atakavyotumwa na masters wake.
 
Hilo jambo siyo suala la wabunge kuwa more equal than other citizens. .

Bali kuna mkataba wa Kazi ambao waheshimiwa wabunge wamesaini ambao umekuwa binding kwa pande zote 2
Basi kama ni hivyo waende mahakama ya kazi wakaoneshe hiyo mikataba yao ya kazi.

Kama ni sheria za nchi, watu wote wako sawa na wana haki za kutibiwa ndani na nje ya nchi kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa kisheria.
 
maono yangu yananiambia ccm wamekosea sana kuicheza hii muvi ya lisu,na chizi inamuuma ni kwanini Bashite kamtia kwenye zambi kubwa yakukusudia kuua.
Hizi ni mission mbili kubwa wazofeli. Na jiwe anahitaji plan mpya japo it is too late.
 
Kwa nini hawakufata yanayotakiwa mwanzo..

Lilivyo gazeti wameomba msamaha kwa kumsingizia kutaka kumuua huyo ndugu yao.. na kufurahia chama chake kubwabwaja mambo ya ajabu juu ya huu utawala?

Wajitafakali sio kwamba wameona wamekimbiwa na wanaochochea maovu nchini na kuanza kulia lia.

Waombe msamaha kwa mchi nzima tena Lissu mwenyewe and co
Tundu lissu alikuwa kwenye critical condition. Ni suala la masaa machache alikuwa apiteze uhai maana damage mwilini ilikuwa kubwa sana.
Ungesema waufuate huo utaratib huenda kuwa leo angekuwa ameshazikwa sikunyingi.
 
Hela yetu ina taratibu za kutumika ...sio kila anayeumwa ajipangie kutibiwa ughaibuni hata kama huduma za matibabu yake zinapatikana nchini.
Lissu hakujipangia kutibiwa ugenini. Na alikuwa apoteze maisha kama wasingewahi sababu toka mwanzon serikal haikuonyesha kutaka kusaidia lolote na mtu hali ni mbaya kapoteza hadi na fahamu.
Sometimes maisha ya mtu ni muhimu kuliko kusubiri taratibu ...maana alikuwa anakufa hiv hiv .
 
Serikali inashindwa kesi kutokana na viongoz wa serikali kuwa na mikono yao ktk hizo kesi na mwisho hizo kesi huwa na mgao wao. Lisu ktk hili anapoteza asubuh na mapema
Kwa record tu ni kuwa lissu ni kichwa likija suala la battle pale kortini. Ni ma rpc wangapi, mashahidi wangapi, wanasheria wangapi wa serikali walipigwa chini na lissu mwenyewe?

Lisu mshtakini kwa njia nyingine lakin mkienda nae mahakamani ni sawa na mamba kumplekea kwenye maji huko ndipo anapojiweza.
 
Wachunguzi huru wanaletwa na nani..kama wametumwa na hao wanaokuja kuwafanyia uchunguzi..au wametumwa na ujerumani wanaomuuguza lissu..hiyo familia inadhani nchi inaendeshwa kwa matakwa yao..?wa.p.u.u.zi kweli
Uchunguzi huru haufanywi na nchi fulani. Unafanya na mashirika ya kidunia kama UN, na mahakama ya ze hegg.
Ilihali hatujajitoa bado means kisheria bado wanaweza kuja iwapo watahitajika. Lakin wao kuja baraka kutoka serikalin lazima zitoke.
 
Mara mseme nchi inakopa haina pesa..sasa kama mnajua nchi haina ya nini kulipia matibabu ujerumani..si bora hizo pesa wapewe maskini kama anavyofanya magu wajenge hata vibanda vya kuishi
Ni haki yake kikatiba, na sheria za bunge kwa.mbunge kutibiwa. Mbona wengine mpaka wanaenda india na wanalipiwa na bunge? Za lissu tu ndio imekuwa nongwa. Au yeye si mbunge?
 
Back
Top Bottom